Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kongamano la Uhuru wa habari WPFD kufanyika Morogoro Mei 2-3, wadau zaidi ya 200 kushiriki

MISATAN Chairperson Simon Berege addresses the media during a press conference to introduce World Press Freedom Day 2015

Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani (WPFD) yatakayofanyika tarehe 2 mwezi Mei mwaka huu mkoani Morogoro.

Na Modewjiblog team

Wanahabari  na wadau wa habari wanatarajiwa kukutana Mkoani Morogoro  kwa siku mbili kwa kusanyiko la maadhimisho ya siku ya Uhuru wa habari duniani (WPFD),...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KONGAMANO LA UHURU WA HABARI WPFD KUFANYIKA MOROGORO MEI 2-3, WADAU ZAIDI YA 200 KUSHIRIKI‏

Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani (WPFD) yatakayofanyika tarehe 2 mwezi Mei mwaka huu mkoani Morogoro. Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) ambao ni miongoni mwa wadau wa maandalizi ya maadhimisho hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Uhuru wa habari kuadhimishwa Arusha Mei 3

>Uhuru wa vyombo vya habari kwa utawala bora na maendeleo ni kaulimbiu itakayoongoza maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambayo hapa nchini yatafanyika jijini Arusha.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe afunga rasmi kongamano la wadau wa habari ukanda wa Afrika Mashariki.

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akisisitiza jambo kwa wadau mbalimbali wa habari toka nchi za ukanda wa Afrika Mashariki mapema hii leo wakati akifunga kongamano la siku mbili la wadau wa habari liloandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki lenye lengo la kuangalia mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika nchi za ukanda wa Afrika Mashariki. Mhariri wa gazeti la Hoja toka nchini Tanzania Bw. Yassin Sadik  akichangia mada wakati wa kufunga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya miradi 50 yenye thamani ya Sh. 10.3 Bil. kupitiwa na Mwenge wa uhuru mkoani Morogoro

DSC_1923

Na Andrew Chimesela – Morogoro

Mkoa wa Morogoro unatarijia kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Tanga  Juni 15, 2015 ambao utakaopitia miradi ya Maendeleo 51 yenye thamani ya Shilingi 10,367,768,943 za kitanzania.

Ukiwa Mkoani Morogoro, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashauri zote saba za Mkoa huo ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero itakayopokea Mwenge kutoka Wilaya ya Kilindi, Halmashauri ya Wilaya ya Gairo na Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

Halmashauri nyingine ni...

 

5 years ago

Michuzi

FORUMCC KUWAKUTANISHA WADAU WA MAZINGIRA ZAIDI YA 200 KATIKA MKUTANO MKUU WA SITA, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KUTOA HOTUBA


Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Jakaya Kikwete anatarajiwa kutoa hotuba katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Mabadiliko ya Tabianchi unaotarajiwa kufanyika Machi 25 hadi 26 mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo wadau zaidi ya 200 wanatarajiwa kuhudhuriwa mkutano huo.
Mkutano huo umeandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la FORUMCC linalojihusisha na kuleta ushawishi wa kuchukua hatua...

 

11 years ago

Dewji Blog

Singpress yatoa msaada wa zaidi ya laki nane kwa Walemavu Siku ya Uhuru wa Habari

E83A1236

 

Mwalimu mkuu shule ya msingi mchanganyiko Ikungi waliya ya Ikungi, Olivary Kamilly, akizungumza ofisini kwake na wanachama wa klabu ya waandishi mkoa wa Singida, ambapo kwa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, walitoa msaada wenye thamani ya zaidi ya shilingi laki nane kwa wanafunzi walemavu wakiwemo Albino katika shule hiyo.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

WANACHAMA wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida wameadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii 200 kushiriki Sauti za Busara 2014

VIKUNDI 32 kutoka ndani na nje ya nchi vimechaguliwa kufanya maonesho ya muziki kwenye tamasha la 11 la Sauti za Busara linalotarajiwa kufanyika viwanja vya kihistoria vya Ngome Kongwe visiwani...

 

11 years ago

BBCSwahili

1,200 wameuawa na Boko Haram tangu Mei

UN inasema kuwa zaidi ya watu 1,200 wameuwa katika vita vya Boko Haram dhidi ya serikali tangu serikali kutangaza hali ya hatari mwezi Mei.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani