Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kongamano na maonyesho ya wanawake Wajasiriamali Tanzania yafana

Kongamano la wanawake Wajasiriamali Tanzania lilofanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden Hotel lilifana , mada mbalimbali ziliwasilishwa katika kongamano hilo liliandaliwa na Tanzania Business Entreprenuers for Women(TBEW) wakiongozwa na Haika Lawere Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel.

Kampuni na vikundi vya wajasiriamali zaidi ya 30 vilishiriki maonyesho ya bidhaa na wajasiriamali zaidi ya 100 walishiriki katika semina zilizokuwa zinafanyika sambamba na maonyesho hayo.

IMG_3300278346817_resized

Washiriki...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kongamano na maonyesho ya wanawake Wajasiriamali Tanzania lafana sana

Kongamano la wanawake Wajasiriamali Tanzania lilofanyika katika ukumbi wa Mbezi Garden Hotel lilifana , mada mbalimbali ziliwasilishwa katika kongamano hilo liliandaliwa na Tanzania Business Entreprenuers for Women(TBEW) wakiongozwa na Haika Lawere Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel. Kampuni na vikundi vya wajasiriamali zaidi ya 30 vilishiriki maonyesho ya bidhaa na wajasiriamali zaidi ya 100 walishiriki katika semina zilizokuwa zinafanyika sambamba na maonyesho hayo. Paul...

 

9 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI WANAWAKE NCHINI LAFANA

 Meneja wa Mpango wa  Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).wa kwanza kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mfuko huo Bi Matilda Nyallu. Wafanyakazi wa Mfuko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiwa katika Banda la...

 

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA CHUO CHA UTALII TANZANIA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania,  Rosada Msoma akizungumza na wanafunzi na wakufunzi wa chuo cha Utalii(hawapo pichani) katika maonyesho ya utalii yaliyofanyika katika chuo hicho kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Fedha wa chuo cha utalii Tanzania Neema Kusiga, (watano katikati),Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii  Tanzania,  Rosada Msoma akiwa na wakufunzi wa Chuo cha Utalii Tanzania kutoka kampasi tatu za chuo hicho iliyofanyika...

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar

Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).

2

Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.

Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF YA UNGANA NA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KATIKA HAFRA YA KUENDELEZA UMOJA WA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM

 Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF) Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiliamali shamimu mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo jokate mwegelo. Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF)kushoto Hadji...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WANAWAKE TANZANIA (TANZANIA BUSINESS ENTREPRENEURS) LAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

WAJASIRIAMALI wanawake nchini wametakiwa kuwa na moyo wa uthubutu ili kupiga hatua ya maisha na kiuchumi badala ya kuwa waoga.
Mwito huo umetolewa na Mratibu wa Kongamano la Jumuia ya Wafanyabiashara Wanawake Tanzania, Julieti Mjale wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kongamano hilo lililofanyika Hoteli ya Mbezi Garden Dar es Salaam jana.
"Uthubutu katika jambo lolote ni muhimu kwani unamfanya muhusika kupiga hatua ya maendeleo" alisema Mjale
Alisema wajasiriamali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kongamano la kwanza la wanawake wafanyabiashara sokoni Tanzania lafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Equality for  Growth (EFG),  JaneMagigita akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo Dar es salaam.

Ofisa Programu Dawati la Uangalizi wa Serikali wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hussein Sengu (kulia) akitoa mada katika Kongamano la siku mbili la Wanawake Wafanyabiashara Sokoni Tanzania lililofanyika Dar es Salaam jana. Kongamano hilo lililowahusisha wanawake kutoka mikoa tisa ya Tanzania Bara...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA KWANZA LA WANAWAKE WAFANYABIASHARA SOKONI TANZANIA LAFANYIKA JIJINI DAR LEO.

Na Dotto Mwaibale
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti Tanzania (Repoa), Samwel Wangwe amewataka watanzania kuwawezesha wafanyabiashara wadogo wadogo hususani wanawake kwani wananafasi kubwa ya kuchangia pato la Taifa.
Akizunguza Dar es Salaam leo wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la kwanza la wanawake wafanyabiashara sokoni Tanzania, Wangwe alisema ni muhimu kuhakikisha wafanyabiashara hao wanawezeshwa na kuwajali katika uzalishaji na uendeshaji wa biashara zao.
Alisema kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA

Mwakilishi wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kuranga wakati walipotembelea vikundi vya wajasiriamali vilivyopo wilayani hapo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila na mlezi wa Kikundi cha Kiwalani Women Group ambaye pia ni mke wa mbunge wa Mkuranga, Naima Malima. Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila akizungumza na Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani