Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kopa, Msaga Sumu kupamba Miss Mbagala

WASANII wa muziki nchini, Khadija Kopa na Msaga Sumu, wanatarajia kupamba shindano la  Miss Mbagala litakalofanyika Mei 30, katika Ukumbi wa Dar Live, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dulayo, Josline kupamba Miss Mbagala

WAKALI wa muziki wa kizazi kipya, Abrahaman Kassembe ‘Dullayo‘ na Josline, wanatarajiwa kupamba uzinduzi wa Miss Mbagala utakaofanyika ukumbi wa Dar live Mbagala jijini Dar es Salaam, Mei 9. Miss...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Balozi Seif Idd na Khadija Kopa kupamba Miss Singida 2014

DSC01306

Muandaaji wa shindano la Miss Singida 2014 Anti Bora Lemmy, akizungumza na wadhamnini mbalimbali mkoani singida wakati akiwatambulisha Mamiss kwa waandishi wa habari.

Na Hillary Shoo, Singida.

MKE wa Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, mama Assi Balozi seif Idd anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika shindano la kumsaka Miss Redds Singida 2014.

Akizungumza na waandisi wa habari muandaaji wa shindano hilo mkoani Singida, Bora Lemmy alisema mbali na mama Assi , pia...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Baba Kash Ft Msaga Sumu — Kidoti

Hii video mpya kutoka kwa msanii Baba Kash akimshirikisha Msaga Sumu wimbo unaitwa “Kidoti” video imeongozwa na Msafiri kutoka kwetu Studio

 

10 years ago

Mtanzania

Jokha Kassim, Msaga Sumu jukwaa moja

NA MWALI IBRAHIM
WAIMBAJI wa taarabu, Jokha Kassim na Msaga Sumu, wanatarajiwa kunogesha onyesho maalumu la kundi la taarabu la Wakali wao Modern Taradansa, litakalofanyika Ijumaa hii katika ukumbi wa JM Hotel, Manzese, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa kundi la Wakali wao, Thabit Abdul, alisema usiku huo ni maalumu kwa ajili ya kuukaribisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, unaotarajiwa kuanza Juni 19.
“Tumewaandalia mashabiki wetu zawadi ya wimbo mpya ambao tutauzindua siku hiyo...

 

10 years ago

GPL

MSAGA SUMU AIPAMBA SHOO YA MWANA DAR LIVE

Mwanamuziki Msaga Sumu akiwarusha mashabiki wa Dar Live katika shoo ya Mwana Dar Live usiku huu. Nyomi ikimpa shangwe Msaga Sumu. Msaga…

 

10 years ago

GPL

MSAGA SUMU AIPAMBA SHOO YA IDD MOSI DAR LIVE

Mwanamuziki Msaga Sumu akiwarusha mashabiki wa Dar Live katika shoo ya Idd Mosi usiku huu. Nyomi ikimpa shangwe Msaga Sumu.…

 

9 years ago

Global Publishers

Msaga Sumu afunga mwaka Dar Live kwa kishindo

msagas msagasumu akiimba wimbo wa shemeji unanitega Bingwa wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu akifanya yake Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar .

mashabikiiiiMashabiki  wakimshangilia Msaga Sumu (hayupo katika picha).

msagasumu akikamua ngoma ya huyu mtotoMashabiki  akiendelea na shoo yake.

msagasumu msagasumuuAkiendelea na Makamuzi yake mida ya Saa 5: 50 usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

(PICHA: MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS/GPL)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani