Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dulayo, Josline kupamba Miss Mbagala

WAKALI wa muziki wa kizazi kipya, Abrahaman Kassembe ‘Dullayo‘ na Josline, wanatarajiwa kupamba uzinduzi wa Miss Mbagala utakaofanyika ukumbi wa Dar live Mbagala jijini Dar es Salaam, Mei 9. Miss...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kopa, Msaga Sumu kupamba Miss Mbagala

WASANII wa muziki nchini, Khadija Kopa na Msaga Sumu, wanatarajia kupamba shindano la  Miss Mbagala litakalofanyika Mei 30, katika Ukumbi wa Dar Live, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mapacha Watatu kupamba Miss Bagamoyo

BENDI ya muziki wa dansi ya Mapacha Watatu, inatarajiwa kunogesha shindano la kumsaka mrembo wa Wilaya ya Bagamoyo ‘Miss Bagamoyo’ mkoani Pwani. Shindano hilo limepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Palm...

 

11 years ago

Michuzi

EXTRA BONGO KUPAMBA REDD'S MISS PWANI

BENDI ya muziki wa dansi ya  Extra Bongo inayoongozwa  na mwanamuziki mkongwe nchini Camarade Ally Choki  ndiyo itakayopamba shindano la Redd’s Miss Pwani  lililopangwa kufanyika juni 27 2014 katika ukumbi wa Maisha Plus (Police Mess).
Mbali ya Choki ambaye atakuwa na kikosi chake kikali cha wacheza shoo kinachoongozwa na Mussa Hassan Nyamwela pamoja na wanenguaji wa kike kama Maria Soloma , Asha Said ‘Sharapova’ , Otilia na wengineo watanogesha na kuacha historia siku hiyo .
Hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twanga kupamba utambulisho Miss Tabata Pasaka

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ inatarajiwa kusindikiza uzinduzi wa Redd’s Miss Tabata utakaofanyika Ukumbi wa Da’ West Park, Tabata jijini Dar es Salaam, Jumapili ya Pasaka. Mratibu wa shindano...

 

11 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta kupamba utambulisho Miss Tabata SIKU YA Pasaka

 Bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” itasindikiza uzinduzi wa Redds Miss Tabata itakayofanyika Jumapili ya Pasaka katika ukumbi wa Da’ West Park, Tabata. Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema bendi hiyo itatambulisha nyimbo zao mpya kama zawadi yao ya Pasaka kwa wapenzi wao. Pia bendi hiyo ijulikanayo kama Wakali wa Kisigino pia watapiga nyimbo zao zote kali hadi majogoo. Mratibu huyo wa Bob Entertainment na Keen Arts alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Balozi Seif Idd na Khadija Kopa kupamba Miss Singida 2014

DSC01306

Muandaaji wa shindano la Miss Singida 2014 Anti Bora Lemmy, akizungumza na wadhamnini mbalimbali mkoani singida wakati akiwatambulisha Mamiss kwa waandishi wa habari.

Na Hillary Shoo, Singida.

MKE wa Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, mama Assi Balozi seif Idd anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika shindano la kumsaka Miss Redds Singida 2014.

Akizungumza na waandisi wa habari muandaaji wa shindano hilo mkoani Singida, Bora Lemmy alisema mbali na mama Assi , pia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Redd’s Miss Mbagala hapatoshi leo

SHINDANO la kumsaka mnyange wa Redd’s Miss Mbagala, linatarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Dar Live, jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mratibu wa shindano hilo,...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI MISS MBAGALA 2014 WATINGA GLOBAL

Washiriki wa Miss Mbagala 2014 wakiwa katika pozi la pamoja leo hii katika ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga- Mwenge, Dar. Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (Kulia) akiwapa maelekezo.…

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MISS MBAGALA 2014 NDANI YA DAR LIVE

Kwa mara ya kwanza kitongoji cha Mbagala kimejipatia mshindi katika mashindano ya kumsaka mrembo atakayeiwakilisha Mbagala katika mashindano ya Miss Temeke 2014. Taji hilo lilikwenda kwa mrembo Amina Salim katika mashindano hayo yaliyofanyika Juni 7, 2014 ndani ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani