Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama Balozi Seif Idd na Khadija Kopa kupamba Miss Singida 2014

DSC01306

Muandaaji wa shindano la Miss Singida 2014 Anti Bora Lemmy, akizungumza na wadhamnini mbalimbali mkoani singida wakati akiwatambulisha Mamiss kwa waandishi wa habari.

Na Hillary Shoo, Singida.

MKE wa Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, mama Assi Balozi seif Idd anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika shindano la kumsaka Miss Redds Singida 2014.

Akizungumza na waandisi wa habari muandaaji wa shindano hilo mkoani Singida, Bora Lemmy alisema mbali na mama Assi , pia...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF IDD ATIMIZA AHADI YAKE KWA CCM MKOA WA SINGIDA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Mipira kwa ajili ya Gari ya Chama ya Mkoa wa Singia Katibu wa CCM wa Mkoa huo Bibi Merry Chatanda akitekeleza ahadi aliyotowa wakati wa ziara yake Mkoani humo miezi michache iliyopita. Kulia ya Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Mbunge wa Mkoa wa Singida Viti Maalum Mh. Anna Chilolo, hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi Seif Mtaa wa Farahani Mjini Dodoma. Balozi Seif akiuhakikishia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kopa, Msaga Sumu kupamba Miss Mbagala

WASANII wa muziki nchini, Khadija Kopa na Msaga Sumu, wanatarajia kupamba shindano la  Miss Mbagala litakalofanyika Mei 30, katika Ukumbi wa Dar Live, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa...

 

10 years ago

GPL

KHADIJA KOPA NDANI YA KILI MUSIC TOUR 2014 LEADERS CLUB

Mwimbaji wa Taarab, Khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu katika Tamasha la Kili Music Tour 2014 jijini Dar. Mnenguaji wa Khadija Kopa akifanya yake stejini.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif, Balozi Idd wachimbana

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd na Makamu wa Kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad, wameingia katika vita ya maneno kuhusu rasimu ya katiba, masuala ya Muungano...

 

11 years ago

GPL

BALOZI SEIF IDD AZINDUA MAONYESHO YA SABASABA DAR

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi amezindua rasmi maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar mchana huu. Maonyesho ya mwaka huu yaliyoanza Juni 28, 2014 yanashirikisha waonyeshaji bidhaa zaidi ya 1,200 kati yake Wizara, Idara na wakala za serikali zaidi ya 60 na makampuni zaidi ya 400 ya kimataifa. Mataifa 31 yanashiriki maonyesho ya mwaka huu...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Idd azungumza na Viongozi wa Mkoa wa Magharibi, Zanzibar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika mkutano wa ujirani mwema kati ya Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeka na Wilaya ya Dimani hapo Tawi la CCM Kwerekwe B.Mkuu wa Msafara wa Ujumbe wa Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam Nd.Said Kabuma akitoa shukrani kwa mapokezi mazuri waliyopewa na wenyeji wao Wilaya ya Dimani wakati wa kuagana baada ya kumaliza ziara yao ya ujirani mwema Zanzibar.Baadhi ya Viongozi na wanachama wa...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD AKUTANA NA WANA CCM WA NUNGWI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi amewathibitishia Wana CCM, Wananchi na Jamii kwamba ataendelea kufuatilia matatizo na changa moto zinazowakabili wananchi popote pale akiwa kama mtendaji Mkuu wa Serikali.
Alisema Wanasiasa wasifikirie kwamba anapokwenda majimboni hasa katika maeneo yanayoongozwa na Upinzani wakadhani ya kuwa anakwenda kuvuruga siasa za vyama vyengine vya upinzani.
Balozi Seif alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akutana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Tigo

Kampuni ya Mitandao ya simu za Mkononi ya Tigo imejitolea kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye sekta ya uwekezaji katika masuala ya mitandao ya mawasiliano sambamba na kusaidia huduma za Kijamii kwa wananchi wa Visiwa vya Unguja na Pemba.
Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo yenye Makao Makuu yake Mjini Stokholmes Nchini Sweeden Bwana Arthur Basting alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF IDD APOKEA MSAADA WA KOMPYUTA KUTOKA KAMPUNI YA ZTE

Ofisa wa Tawi la Kampuni ya Kimataifa ya Mtandao wa Mawasiliano ya Kisasa ya ZTE hapa Zanzibar yenye Makao Makuu yake Nchini  Jamhuri ya Watu wa China Bibi Coco Wang akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kabla ya kumkabidhi msaada wa Kompyuta 10 kwa ajili ya wanafunzi wa Skuli zilizomo ndani ya Jimbo lake.
.................................................
Kampuni ya Kimataifa ya Mtandao wa Mawasiliano ya Kisasa ya ZTE yenye Makao Makuu yake Nchini  Jamhuri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani