Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kortini kwa kuingiza vifaa nchini bila leseni

RAIA wa Lebanon, Mohammed Alli Attwi (27) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka sita likiwamo la kuingiza vifaa vya mawasiliano ya kimataifa bila ya kuwa na leseni na kulisababishia taifa hasara ya zaidi ya Sh bilioni 2.1.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mcolombia kortini kwa kuingiza kokeni

RAIA wa Colombia, Andres Uribe (38), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya kokeni zenye thamani ya Sh milioni 45.2.

 

5 years ago

Michuzi

Mwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni




Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.

Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...

 

9 years ago

Michuzi

OMCTP ni neema kwa waombaji leseni za madini nchini

Na Mohamed Saif
Imeelezwa kwamba huduma ya leseni za madini kwa njia ya mtandao itampunguzia gharama na adha za usafiri mmiliki wa leseni za madini kwa kumuwezesha kulipia ada za leseni yake pale alipo.
Hayo yameelezwa hivi karibuni na Afisa Madini Mkazi-Njombe, Samwel Ayubu alipokuwa akifungua mafunzo ya matumizi kuhusu huduma za leseni kwa njia ya mtandao yaani Online Mining Cadastre Portal (OMCTP) kwa wachimbaji wa madini mkoani Njombe.
Ayubu alisema kupitia mfumo wa zamani,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida

DC

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.

Na Hillary Shoo,

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi  Wilayani Ikungi Mkoani Singida.

Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...

 

5 years ago

Michuzi

WAWILI WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI

Na.Vero Ignatus,Arusha
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikilia Waandishi  wawili raia wa  nchi jirani ya Kenya kwa kosa la kuingia nchini bila kibali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Clinton Isimbu( 22)kabila Mluya,mpiga picha wa Elimu Tv ya Kenya,mwingine ni Kaleria Shadrack(23)kabila mmeru ambaye pia ni mwandishi wa habari Elimu Tv ya nchini Kenya.
Kamanda Shana amesema watuhumiwa hao waliingia nchini kwa njia ya Panya,ambapo kwa Sasa wote...

 

10 years ago

Michuzi

RAIA WANNE (4) WA ETHIOPIA MBARONI KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikila watu wanne (4) raia wa Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kuwa na kibali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watu hao wamekamatwa tarehe 26/01/2015 majira ya 15:55hrs katika eneo la Nala kwenye Mzani wa Magari (Weight Bridge) Kata ya Nala Tarafa ya Zuzu Manispaa ya Dodoma wakiwa kwenye basi la Prince Munaa lenye namba za usajili T....

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ujenzi maabara za shule bila vifaa hauna tija’

Imeelezwa kuwa kama ujenzi wa maabara shuleni hautakwenda sambamba na uandaaji wa walimu wa masomo ya sayansi na ununuzi wa vifaa vya maabara, hautakuwa na tija.

 

11 years ago

Habarileo

Vifaa vya kuzima moto bila maji vyagharimu mil. 200/-

KIKOSI cha Zimamoto na uokoaji nchini, kimenunua vifaa 100 vitakavyosaidia kuzima moto bila kutumia maji vyenye thamani ya Sh milioni 200.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani