Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vifaa vya kuzima moto bila maji vyagharimu mil. 200/-

KIKOSI cha Zimamoto na uokoaji nchini, kimenunua vifaa 100 vitakavyosaidia kuzima moto bila kutumia maji vyenye thamani ya Sh milioni 200.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYA SH. MIL 15 WILAYA YA UBUNGO

  Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam - Badru Idd (kushoto) akimkabidhi msaada wa madawati, viti na meza 150 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia) katika Shule ya Sekondari Kibamba. Vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 15 vimetolewa na NMB kuzisaidia Shule tatu za Manispaa ya Ubungo ambazo ni Kibamba, Kinzudi Sekondari pamoja na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini zote za jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia mwenye suti)...

 

11 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYA SH. MIL 15 SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati)akikabidhiwa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu katika hafla iliyofanyika, Ilala, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani. Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi eneo la Karume, Ilala. Kushoto ni Meneja  Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.  Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo ...

 

11 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA

 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaa
 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika ...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA CSEE, CHILD FUND KOREA WATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIA VIRUSI VYA CORONA VYA THAMANI YA MIL 40/- KARATU


Na  Woinde Shizza, KARATU
TAASISI  ya Community Aid and Social Education Empowerment  (CSEE)  kwa kushirikiana  na Child Fund Korea  ambao wamejikita katika kusaidia watoto dhidi ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona wametoa msaada wa vifaa venye thamani ya shilingi million 40 kwa Wilaya ya Karatu.
Msaada huo ni vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona ambavyo ni  pamoja na  spika za sauti za kusaidia kuelimishia jamii sehemu mbalimbali zenye shughuli zinazokusanya watu wengi kwa ...

 

5 years ago

Michuzi

RC.GAMBO MALIZENI MIRADI YA MAJI NDANI YA MKATABA SANJARI NA KUFUNGA VIFAA VYA VITUO VYA AFYA


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha alipofanya ziara ya kutembelea Kituo cha Afya Kaloleni kujionea shughuli mbalimbali kwenye kituo hicho ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tatu kukagua miradi ya Afya na Maji kwenye Halmashauri zote za mkoa huo hii ikiwa ni ziara yake kwenye halmashauri ya jiji la Arusha mwishoni mwaka wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha...

 

10 years ago

Habarileo

Kairuki aipatia Ilala vifaa tiba vya mil.65/-

 NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki ametoa msaada wa vifaatiba na vifaa vingine vya hospitali kwenye vituo vitano vya afya, vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 65. Amesema msaada huo ni mchango wake katika kuimarisha huduma za afya nchini.

 

10 years ago

Dewji Blog

TUNAJALI wawajali wanawake na vifaa tiba vya mil 155/-

DSC01359

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la TUNAJALI, Dk.Gottlieb Mpangile (kushoto) akizungumza kwenye hafla ya kuzindua mpango wa kutokomeza vifo vya wajawazito na watoto wachanga mkoani Singida, Pia hafla hiyo ilitumika kutoa msaada wa vifaa tiba vikiwemo vitanda vya kujifungulia vyote kwa pamoja  vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 155 milioni.Wa pili kushoto (waliokaa) ni mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone na wa kwanza ni katibu tawala mkoani Singida, Liana Hassan.

Na...

 

11 years ago

Habarileo

Mil. 600/- zakusanywa harambee vifaa vya matibabu ya watoto

RAIS Jakaya Kikwete usiku wa kuamkia juzi aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya Sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wadi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

NHIF,KfW wakabidhi vifaa tiba vya mil 989/-

NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid leo amekabidhi vifaa tiba vinavyotumika katika afya ya wanawake wajawazito na watoto vyenye thamani Shilingi 989,128,354.40 kwa mikoa ya Mbeya na Tanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani