KOSEA KUCHAGUA KILA KITU, LAKINI SIYO MWENZA
![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLQdogditoyGD4cQMnFixKDnAz06ET9-LpgSybQ8DvVP8LnPuIP23wYkBfHUWHboqIPMfbyGFUrJd*uA5t3UhXex/Love.jpg?width=650)
Namshukuru Mungu kwa ajili ya Jumanne ya leo. Naamini neema ya Mungu ingalipo kwangu, ndiyo maana amenijalia kufika. Sijatumia ufundi wala kipaji, ni matakwa yake yeye. Mada ya wiki iliyopita, Je, Ungekuwa Hujafanyiwa Kitchen Party iliisha kwa pongezi kadhaa huku wengi wakisema wamejifunza kitu. Lakini wapo walionipinga wakisema mada yangu haikuwa sahihi kwa sababu katika uhusiano pande zote zinaweza kusababisha mtu kubadili...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EFRV*I*wRwLRNhQAGhtPThD4QK4yQ3IORt8ROKWgr6adkRhwSkfdb0ABMgYi306kpNKb7xmDwIoJ9UHxv2Q1wa1GuEGtAlNi/1.jpg?width=650)
KOSEA KUCHAGUA KILA KITU, LAKINI SIYO MWENZA-2
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Mapenzi siyo kitu muhimu kwangu, hapa kazi tu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoa-AbXZBShdUB1CPoCoOO0duzXL7rdRyZrRIKmSrfw8HdlVBhp1y10ghB1H8nfCKe0yH*gGnawnoUYrAJV-gQ0O/FRONTAMANI.jpg?width=650)
FLORA AKOMBA KILA KITU
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Ngeleja: Hatupingi kila kitu
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum, William Ngeleja, amesema hawapingi kila kitu kilichomo kwenye Rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabiliko ya Katiba. Ngeleja, amewataka watanzania wasikubali kupotoshwa...
9 years ago
Bongo Movies23 Nov
Dude Alizwa Kila Kitu
YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.
Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.
“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqpok7HrQrqKYCB1wpBtIYgt0obNl4SobbVgllL7ZXKV69trEgi3CgRbe86jRM2ThISG5zRBSd3zVUvJSDCssa0S/images.jpg?width=650)
DIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE?!?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzfuMLZOXzM8bfRucbqBlMl3jB124fNproCEdjHXpHfjXxGUJFrL6DcGxx1wuY7ePJAyAVpXr2fhWs5k9iBv5FDm/Johari.jpg)
JOHARI: RAY NI KILA KITU KWANGU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYB7ii1KWGetsvh4LjImGstyzkAVLzZDGY489OtJkNGxw*YH9eZyOySQDSZvSiDhGwZE0TMXwxcEcK3C3UFw9eYv/mahaba.jpg?width=650)
HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, RIDHIKA!
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Lissu: Wanaokubaliana kila kitu ni kondoo
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu, amesema katika mchakato wa kuandika Katiba ni lazima kuwa na mawazo yanayokinzana, kwa kuwa hiyo ndiyo demokrasia. Lissu ambaye pia ni Mbunge...