Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOSEA KUCHAGUA KILA KITU, LAKINI SIYO MWENZA-2

Karibu mpenzi msomaji wangu katika safu hii ya mapenzi na maisha. Wiki iliyopita niliishia pale niliposema kwamba, ni dhahiri kwamba, katika uhusiano kila mmoja aliyemkubali mwenzake aliamua kutoka moyoni kwamba ndiye chaguo lake. Nilisema kwamba, wengi walidiriki kugombana na ndugu zao, marafiki au hata kukejeliwa na jamii kwa sababu ya kuwa na uhusiano na mtu f’lani lakini kwa vile waliona ndiyo chaguo waliamua liwalo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KOSEA KUCHAGUA KILA KITU, LAKINI SIYO MWENZA

Namshukuru Mungu kwa ajili ya Jumanne ya leo. Naamini neema ya Mungu ingalipo kwangu, ndiyo maana amenijalia kufika. Sijatumia ufundi wala kipaji, ni matakwa yake yeye.
Mada ya wiki iliyopita, Je, Ungekuwa Hujafanyiwa Kitchen Party iliisha kwa pongezi kadhaa huku wengi wakisema wamejifunza kitu. Lakini wapo walionipinga wakisema mada yangu haikuwa sahihi kwa sababu katika uhusiano pande zote zinaweza kusababisha mtu kubadili...

 

9 years ago

Mwananchi

Mapenzi siyo kitu muhimu kwangu, hapa kazi tu

Anajiita Angelina Jolie wa Bongo na hata ukimtazama unaweza kukubaliana naye. Mbali ya kutojiremba kupitiliza, bado anafanana na mwigizaji huyo wa Marekani kwa mbali.

 

11 years ago

GPL

FLORA AKOMBA KILA KITU

Stori: Waandishi Wetu MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana. Sehemu ya chumba cha kupumzikia kilichobakiwa na kochi na… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Hatupingi kila kitu

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum, William Ngeleja, amesema hawapingi kila kitu kilichomo kwenye Rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabiliko ya Katiba. Ngeleja, amewataka watanzania wasikubali kupotoshwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Dude Alizwa Kila Kitu

YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.

Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.

“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE?!?

.KWAKO mkali wao katika anga la Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mambo vipi mzazi jembe? Hongera sana kwa ushindi mnono ulioupata hivi karibuni katika Tuzo za MTV EMA 2015 jijini Milan Italy, umezidi kuliletea taifa letu heshima. Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu naendelea kupambana na kazi zangu kama kawaida ili mkono uende kinywani.Nimekukumbuka leo kwa barua kwani kuna jambo nataka nikushauri....

 

10 years ago

GPL

JOHARI: RAY NI KILA KITU KWANGU!

Brighton masalu
PATAMU hapo! Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ ndiye kila kitu maishani mwake kutokana na msaada aliompa wa kumtoa kisanii na kumsapoti kwa mambo mengi kikazi. Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. ‘Akianika mwanya’ katika mazungumzo na Amani juzikati, Johari alisema haoni sababu ya kuficha...

 

11 years ago

GPL

HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, RIDHIKA!

NYAKATI za mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya kuvutia, visivyochosha. Ni rahisi kuwasikia wenzi wakilaumiana kwa kutokuamshana asubuhi! Yeah! Ni mambo ya mwanzo hayo. Ni ukweli ulio wazi kuwa, katika siku za mwanzo za wapenzi kukutana na kufahamiana, kila mmoja huwa makini kuhakikisha hamuudhi mwenzake. Kila kitu hufanyika kwa umakini huku akizingatia kuwa kuna...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Wanaokubaliana kila kitu ni kondoo

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu, amesema katika mchakato wa kuandika Katiba ni lazima kuwa na mawazo yanayokinzana, kwa kuwa hiyo ndiyo demokrasia. Lissu ambaye pia ni Mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani