Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kova asaka ‘Mbwa Mwitu’ nyumba kwa nyumba

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limeanzisha operesheni ya nyumba kwa nyumba ya kuwasaka vijana wanaojihusisha na kundi la vijana wanyang’anyi liitwalo ‘Mbwa Mwitu’ na kuahidi ndani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kova: Tumewanasa viongozi wa ‘Mbwa Mwitu’

>Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu sita wanaodaiwa ni viongozi wa kundi la ‘Mbwa Mwitu’ linalojihusisha na vitendo vya uvamizi na uporaji wa mali za watu kwenye nyumba na maduka jijini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamanda Kova hawajui Mbwa Mwitu, Panya Road?

MIONGONI mwa matukio makubwa yanayotikisa Jiji la Dar es Salaam sasa ni uvunjifu wa amani katika maeneo mbalimbali ya jiji yanayofanywa na vijana wanaojiita Mbwa Mwitu na Panya Road. Vijana...

 

10 years ago

Mwananchi

SOKA: Ngassa asaka nyumba Sauzi

>Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa amewasili nchini Afrika Kusini jana kusaka nyumba tayari kuanza maisha mapya katika klabu yake ya Free State Stars ya Bethlehem.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Nyumba NHC lazindua uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 Kawe

k1

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu Kyando akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 uliopo Kawe jijini Dar es salaam, Nyumba hizi ziko kwenye majengo 7 yenye ghorofa 11 kila moja ambayo yanatarajiwa kuchukua watu 1000 kwa na huu ni utangulizi wa ujenzi wa mji mpya wa kisasa unaotarajiwa kujengwa eneo la Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam ambao ukikamilika utaweza kuchukua watu 15000.

Watu wanaohitaji kununua...

 

9 years ago

Mtanzania

Facts Production kuuza filamu zake nyumba kwa nyumba

NiliyemchaguaNA HERIETH FAUSTINE

KAMPUNI ya Facts Production inatarajia kuanza kusambaza filamu yake mpya ya ‘Niliyemchagua’ kwa mfumo wa nyumba kwa nyumba.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mohammed Kazi ‘Mudy Kazi’ alisema ameamua kufanya hivyo ili kutoa nafasi ya wasiopata muda wa kwenda kununua CD za filamu hiyo katika maduka makubwa waweze kununua wakiwa nyumbani kwao.

“Lakini pia tumeona ni vizuri kwa kuwa itasaidia kuwatambulisha wasanii wetu chipukizi ambao wana uwezo mkubwa kuliko wasanii wenye majina...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DAR‏

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanyamahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirikala Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi zaVictoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai atembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kigamboni

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba ncini Tanzania Mhe. Nehemia Mchechu (wakwanza kushoto), watatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai Mhe. Ali Rashid Ahmed Lootah, wapili kutoka kulia ni Bwa. Issack Peter, na wakwanza kutoka kulia ni Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga, watembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu za Kigamboni zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mapema leo asubuhi jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani