Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kova: Tumekamata wawili kwa mauaji ya sista D’Salaam

>Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imewakamata watu wanane na kati ya hao, wawili wakidaiwa kuhusika na mauaji ya Sista wa Kanisa Katoliki, Cresencia Kapuri na wengine, uporaji wa Benki ya Barclays, Tawi la Kinondoni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wawili mbaroni kwa mauaji ya sista Dar


EVA MBESELE NA RACHEL KYALA
JESHI la Polisi limewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na kifo cha Mtawa wa Kanisa Katoliki, Clesencia Kapuri (50) aliyeuawa Juni 23, mwaka huu, huko Ubungo Kibangu, Dar es Salaam.
Majambazi hao  licha ya kuhusishwa  na tukio hilo na kupora sh. milioni 20, pia walikuwa wakitafutwa kwa muda mrefu kwa tuhuma za tukio la uporaji wa fedha katika benki ya Barclays tawi la Kinondoni. 
Hata hivyo, kinara wa ujambazi katika tukio la uporaji kwenye benki hiyo,...

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI KUFANYA MSAKO MKALI KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SISTA WA KANISA KATOLIKI

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi mchana katika eneo la Ubungo Riverside, jijini humo, ambapo alipigwa risasi na watu wanaodaiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

MAUAJI: ‘Waliomuua Sista walipora Sh20 mil’

>Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam imesema majambazi waliohusika na mauaji ya Sista wa Kanisa Katoliki, Clencensia Kapuli  wamepora kiasi cha Sh20 milioni na nyaraka mbalimbali.

 

9 years ago

GPL

KOVA: MFADHILI MAUAJI STAKISHARI... NI HUYU

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa IMEBUMBULUKA! Hatimaye Jeshi la Polisi Tanzania (PT) limeanika picha ya mtu anayedaiwa kuwa ndiye mfadhili mkuu wa matukio mbalimbali yanayohusishwa na ugaidi likiwemo lile la mauaji ya watu saba kwenye Kituo cha Polisi Stakishari, Dar lililotokea saa 5 usiku, Julai 12, mwaka huu na yale mapigano ya Amboni, Tanga.   ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1JSWm4E   ...

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: NAKAAYA - SISTA SISTA ft. LADY JAY DEE (Download)



" I wrote this record in 2009 alongside an artist that i had looked up to, whom later on became a dear friend @jidejaydee It was produced by @dunga_santury_trinity at Fishcrab studios. The idea behind the song was an artistic idea of two close friends/ sistas dating the same man, and the expression of the frustration that comes with it.  we had a great time creating #sistasista" - NAKAAYA


Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the...

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATANO (5) MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MADEREVA WAWILI WA BODABODA MKOANI DODOMA

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu watano (5) kwa kuhusika na mauaji ya madereva wawili wa bodaboda kwa nyakati tofauti.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema watuhumiwa watatu ambao ni ALEX S/O LETEMA LEWENJE mweye umri wa miaka 20, Mkaguru, ANDREA S/O MAJUTO CHIGUNDULA mwenye umri wa miaka 24, Mkaguru na NABAKI S/O MAUNGO MWIGOE mwnye umri wa miaka 23, Mkaguru wote...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Nakaaya Ft Lady Jay Dee – Sista Sista

artist_85e17a792a137725bd638accbd98ec0249.jpg

Sikiliza hapa wimbo unaitwa “Sista Sista” kutoka kwa msanii Nakaaya amemshirikisha Lady Jay Dee,Studio Mandugu Digito.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Nakaaya akumbushia pressure aliyokuwa nayo wakati wa kujiandaa kurekodi wimbo na Lady Jaydee ‘Sista Sista’

Kwa mwanamuziki kufanya kazi kwa mara ya kwanza na muimbaji aliyekuwa akimchukulia kama mtu wake wa mfano, wasiwasi si jambo la kushangaza. Hali hiyo ndio ilimkuta Nakaaya wakati akirekodi wimbo na Lady Jaydee, Sista Sista mwaka 2009. “Niliandika wimbo huu mwaka 2009 pamoja na msanii niliyekuwa namwangalia, ambaye baadaye alikuja kuwa rafiki mkubwa, Lady Jaydee. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani