Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOVA: MFADHILI MAUAJI STAKISHARI... NI HUYU

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa IMEBUMBULUKA! Hatimaye Jeshi la Polisi Tanzania (PT) limeanika picha ya mtu anayedaiwa kuwa ndiye mfadhili mkuu wa matukio mbalimbali yanayohusishwa na ugaidi likiwemo lile la mauaji ya watu saba kwenye Kituo cha Polisi Stakishari, Dar lililotokea saa 5 usiku, Julai 12, mwaka huu na yale mapigano ya Amboni, Tanga.   ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1JSWm4E   ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UKWELI MAUAJI POLISI STAKISHARI

Na Timu ya Uwazi TAKRIBANI siku 9 tangu kutokea kwa uporaji wa silaha na mauaji ya askari wanne na raia watatu katika Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam, moshi mweupe wa ukweli umenza kufuka. Uchunguzi na vyanzo mbalimbali vya habari wakiwemo polisi ambao hawakutaka kutajwa majina yao, umesaidia timu ya waandishi wetu kubaini jinsi tukio hilo la kinyama lilivyofanyika....habari na picha zote...

 

10 years ago

Habarileo

Mauaji Stakishari yaibua mapya Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu, akitoa tamko juu ya tukio la Stakishari la kuuawa kwa polisi na raia kulikofanywa na majambazi.JESHI la Polisi nchini jana liliwaaga kwa heshima zote za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa katika kituo cha kazi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, huku likiahidi kufanya mapinduzi kadhaa ya kiutendaji.

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari

Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi kufikia 10.

 

10 years ago

GPL

ASKARI MAGEREZA ALIYEPANGA MAUAJI STAKISHARI AUAWA

Makongoro Oging’ na richard bukos, mkuranga  MAPYA tena! Aliyekuwa askari magereza wa Gereza la Dondwe, Wilaya ya Mkuranga, Pwani, Juma Rashid ambaye Uwazi liliwahi kumripoti kuwa, ndiye ayechora ramani yote ya uvamizi na mauaji ya askari wa Kituo cha Polisi Stakishari, Dar imebainika kwamba ameuawa, Uwazi linazidi kukokotoa. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MznZjy ...

 

10 years ago

Dewji Blog

THBUB yalaani mauaji ya askari polisi na raia Stakishari — DSM

MB1

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga.

Tamko la THBUB kulaani Mauaji ya Polisi Stakishari-DSM.pdf 

 

9 years ago

Michuzi

KESI YA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA ASKARI WA KITUO CHA STAKISHARI YAAHIRISHWA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeairisha kesi inayowakabili watuhumiwa kumi (10)wa ujambazi wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari Polisi wa kituo Stakishari jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari wa Kituo cha Stakishari ni Omary makota(28),Rajab Ulatule(22),Ramadhani Ulatule(20),Fadhiri Lukwembe(23),Ally Salum(63).
Wengine ni Hamis Salum(51),Nassoro Abdalah(42)Seleman Salum(83),Said Mohamed(67) na Said Abdulah(45)....

 

11 years ago

Mwananchi

Kova: Tumekamata wawili kwa mauaji ya sista D’Salaam

>Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imewakamata watu wanane na kati ya hao, wawili wakidaiwa kuhusika na mauaji ya Sista wa Kanisa Katoliki, Cresencia Kapuri na wengine, uporaji wa Benki ya Barclays, Tawi la Kinondoni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfadhili wa CCM ahamia CHADEMA

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfadhili wa chama hicho, Sanito Samson na mkewe, Dativa Sanito, wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakielezea kuchoshwa kuchangishwa fedha au...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani