Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUAMBIANA; STAA ALIYEISHI MAISHA YAKE HALISI!

JEMBE limeondoka! Ndiyo... ilikuwa unaweza kumfananisha Adamu Kuambiana na jembe kwenye kilimo! Jembe likikosekana, maana yake mkulima hawezi kuendelea kulima na mwisho wake ni kukosa mazao.Ni siku ya tano sasa tangu Adam atutoke. Kwenye tasnia ya sinema ni pigo kubwa. Marehemu Kuambiana alifariki ghalfa, Jumamosi ya Mei 17, mwaka huu akiwa njiani akipelekwa hospitalini. Msanii huyo alikutwa ameanguka chooni asubuhi hiyo, muda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maisha halisi ya Jaydee - 4

 Kwa wiki nzima mfululizo, lejendi huyu ameweza kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu muziki wake, kolabo za ndani na nje ya nchi, maisha yake halisi, bendi anayomiliki, vitu anavyovipenda na mambo yake asiyopenda kujishughulisha nayo.

 

10 years ago

GPL

JOKATE: MAPENZI YA STAA KWA STAA MBONA POA TU!

Jokate Mwegelo ‘Kidoti’. Saphyna Mlawa, Dar es Salaam
ANAJULIKANA kwa jina la Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, alianza kupata umaarufu kupitia fani ya urembo lakini kwa sasa sauti yake kusikika kwenye Bongo Fleva na kazi zake za urembo ndizo zinamfanya asomeke kwenye vyombo vya habari. Mwanamuziki Ali Kiba. Jokate ambaye alitumia alama iliyopo kwenye uso wake kujipa jina la utani la Kidoti, amezungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

ROSE MUHANDO ALALAMIKIA WEZI WA KAZI ZA WASANII,KUACHIA ALBAMU YAKE HALISI JUMAPILI

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka Jumapili. Taarifa kwa vyombo vya habari aliyoitoa Muhando jana, ilieleza kuwa albamu yake halisi bado haijaingia mtaani na kwamba hiyo wanayoiona wananchi sasa ni bandia na mtu atakayewauzia wamripoti polisi. “Albamu ya Kamata Pindo...

 

5 years ago

BBCSwahili

"Maisha yake ni sawasawa na mtu aliyekufa na kufufuka" kulingana na mama yake

Simulizi ya mtoto mwenye ugonjwa adimu duniani ambaye siku ngingi anajipata kuwa hspitali zaidi ya nyumbani tena chumba cha wagonjw amahutui (ICU)

 

10 years ago

Bongo Movies

Patcho Mwamba: Hakuna Staa wa Kike Ana Nyota Kama ya Wema Sepetu, Ila Dhambi Yake ni Moja...

Staa wa Bongo movies na mwanamziki wa Fm Academia Patcho Mwamba funguka kuwa staa mwennzake wa bongo movies, Wema Sepetu ana nyota kali zaidi ya mastaa wote wa kike wa hapa Bongo, Pacho ameyasema hayo akiwa anajibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"

''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna staa wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo...

 

9 years ago

MillardAyo

Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa?

Katika maisha kila mtu ana malengo na mipango yake, hata tukija katika ishu za kutafuta mchumba au kuoa kila mtu ana vigezo vyake, basi mimekutana na kigezo cha mmoja kati ya rapper wakali kutoka Nigeria ambaye jina lake la kuzaliwa ni Jude Abaga ila mtaani anafahamika kama Mr Incredible (MI). MI Abaga ambaye ni CEO wa […]

The post Huyu ndiye staa wa Nigeria ambaye akitaka kumuoa mwanamke mweupe ataomba picha yake ya utoto, kisa? appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

KWA NINI  HIJA MOJA HALISI IKO KIGOMA?
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]

The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani