Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuchanganya Lugha

Swali la kujiuliza ni kwa nini Watanzania wengi hasa wasomi hawathamini Kiswahili kama inavyostahili? Swali hili ni vigumu kulijibu lakini kwa kusoma makala haya labda utapata jibu. Nimewahi kuandika kuwa kuchanganya Kiswahili na Kiingereza katika kuandika habari makala au katika mzungumzo rasmi ni kukidhalilisha Kiswahili. Waandishi na wazungumzaji  wengi hawako makini na hawajali kuzingatia ufasaha wa Kiswahili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aibu ya viongozi kuchanganya lugha

Moja ya mapendekezo ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya chini ya Mwenyekiti wake Jaji Joseph Warioba ni ibara inayoeleza kuwa, kutakuwapo kwa Tunu za Taifa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ilielezwa kuwa Tanzania itaenzi na kuzingatia tunu zifuatazo kama Utu, Uzalendo, Uadilifu, Umoja, Uwazi, Uwajibikaji na Lugha ya Taifa, ambayo ni Lugha ya Kiswahili.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili

makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali  na hasa nyimbo, misemo, nahau na...

 

10 years ago

Mwananchi

Umejaribu mtindo wa kuchanganya vitenge

Ni msimu wa mitindo ya mavazi yenye rangirangi. Wabunifu wa mitindo wa kimataifa na kitaifa wamekuwa mstari wa mbele katika kuonyesha umahiri wao kupitia mtindo huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Madhara ya kuchanganya dawa za hospitali na za asili

>Matumizi ya dawa za asili au tiba mbadala kwa sasa yameenea sana. Za asili zinajizolea umaarufu sehemu mbalimbali duniani kutokana na kupigiwa debe muda mwingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Upotoshaji wa kuchanganya maneno ya Kiingereza unavyofanywa na wanahabari

Katika makala yangu ya mwisho, nilitoa maelezo kuhusu upotoshaji wa Kiswahili unaofanywa na waandishi wa magazeti, watangazaji wa redio na runinga. Upotoshaji huu unatokana na mambo mengi ambayo ni pamoja na kuchanganya maneno au misemo ya Kiswahili na ya Kiingereza katika mawasiliano.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa waache kuchanganya wakulima mfumo wa stakabadhi ghalani

UONGOZI imara wa Vyama vya Ushirika umewezesha ufanisi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani katika maeneo yanayolima kahawa mkoani Kilimanjaro, lakini wanasiasa ni changamoto katika hilo kwa kuwa wanatumia majukwaa kupanga...

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MPOTO: BABA AMLILIA, AFUTA MACHOZI NA KUCHANGANYA NA MAJI, AKAMWAGIWA!

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipowasiliana na baba yake kwa njia ya simu na kumtaka kwenda kumchukua Songea kwa kuwa hali yake kimaisha haikuwa nzuri. Alikubaliwa na mama yake na alipofika Songea kuna kitu kiliendelea. “Baba aliponiona tu kwa mara ya kwanza tangu aniache mdogo alilila sana. Alitoka machozi ya mtu mzima, akayakinga na kuchanganya na maji kisha...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni

Tamasha la 13 la Lugha na Utamaduni limefanyika Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2015 katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani