Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upotoshaji wa kuchanganya maneno ya Kiingereza unavyofanywa na wanahabari

Katika makala yangu ya mwisho, nilitoa maelezo kuhusu upotoshaji wa Kiswahili unaofanywa na waandishi wa magazeti, watangazaji wa redio na runinga. Upotoshaji huu unatokana na mambo mengi ambayo ni pamoja na kuchanganya maneno au misemo ya Kiswahili na ya Kiingereza katika mawasiliano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MDAU WA MAZINGIRA ASIKITISHWA NA NAMNA USAFI UNAVYOFANYWA JIJINI DAR

Ankal,Leo nimeshuhudia kitu kimoja ambacho hakikunipendeza hata kidogo na nimeona bora nikiongelee kwa vile ni hatarishi kwa mazingira yetu.Picha hii inaonyesha mdada mwenye t-shirt ya kijani ambaye alikuwa anafanya usafi hapo kwenye maeneo ya junction ya AHM na Barak Obama roads. Wakati sisi tunasubiri kuitwa na trafiki kipindi cha asubuhi, nimemshuhudia dada huyo akisafisha na kuzisukumiza taka ndani ya huo mtaro wa pembeni. Kwenye hizo takataka alizosukumiza ndani ya huo mtaro ilikuwepo...

 

10 years ago

Mwananchi

Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.

Baada ya kuandika juu ya Asili na Chimbuko la Kiswahili katika Afrika Mashariki, nitaeleza kwa muhtasari matatizo yanayoikumba lugha hii hasa katika tahajia, matamshi, maana na matumizi yake. Kwa maneno mengine, lugha ya Kiswahili hivi sasa inawakanganya watumiaji wake hasa wanafunzi wa ndani na  nje ya Afrika Mashariki. Mkanganyiko huu unasababishwa na udhaifu uliopo katika taaluma ya lugha ya Kiswahili kama mofolojia, fonolojia, sintaksia na semantiki kwa waandishi na watangazaji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kiswahili dhidi ya Kiingereza au Kiswahili pamoja na Kiingereza?

Suala la matumizi ya lugha Tanzania limeleta ushindani mzito kati ya Kiswahili na Kiingereza.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuchanganya Lugha

Swali la kujiuliza ni kwa nini Watanzania wengi hasa wasomi hawathamini Kiswahili kama inavyostahili? Swali hili ni vigumu kulijibu lakini kwa kusoma makala haya labda utapata jibu. Nimewahi kuandika kuwa kuchanganya Kiswahili na Kiingereza katika kuandika habari makala au katika mzungumzo rasmi ni kukidhalilisha Kiswahili. Waandishi na wazungumzaji  wengi hawako makini na hawajali kuzingatia ufasaha wa Kiswahili.

 

10 years ago

Habarileo

'Maneno maneno' yamkera Waziri

WAZIRI wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amekerwa na kauli ya kuwa Bahi hawautaki mradi wa maji wa bwawa la Farkwa na kutaka maoni ya watu wachache yasiwe sababu za kukwamisha mradi huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Aibu ya viongozi kuchanganya lugha

Moja ya mapendekezo ya Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya chini ya Mwenyekiti wake Jaji Joseph Warioba ni ibara inayoeleza kuwa, kutakuwapo kwa Tunu za Taifa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ilielezwa kuwa Tanzania itaenzi na kuzingatia tunu zifuatazo kama Utu, Uzalendo, Uadilifu, Umoja, Uwazi, Uwajibikaji na Lugha ya Taifa, ambayo ni Lugha ya Kiswahili.

 

10 years ago

Mwananchi

Umejaribu mtindo wa kuchanganya vitenge

Ni msimu wa mitindo ya mavazi yenye rangirangi. Wabunifu wa mitindo wa kimataifa na kitaifa wamekuwa mstari wa mbele katika kuonyesha umahiri wao kupitia mtindo huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Madhara ya kuchanganya dawa za hospitali na za asili

>Matumizi ya dawa za asili au tiba mbadala kwa sasa yameenea sana. Za asili zinajizolea umaarufu sehemu mbalimbali duniani kutokana na kupigiwa debe muda mwingi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa waache kuchanganya wakulima mfumo wa stakabadhi ghalani

UONGOZI imara wa Vyama vya Ushirika umewezesha ufanisi kwenye mfumo wa stakabadhi ghalani katika maeneo yanayolima kahawa mkoani Kilimanjaro, lakini wanasiasa ni changamoto katika hilo kwa kuwa wanatumia majukwaa kupanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani