KUFUATIA VURUGU ZINAZOENDELEA NCHINI MSUMBIJI, HALI YA USALAMA YAIMARISHWA HAPA NCHINI,
![](https://1.bp.blogspot.com/-bbMcK5KN-BU/Xo8Ejy-NScI/AAAAAAALmpY/ZE-MwAuyrtAi0EtJdHAe60INyxptisUtQCLcBGAsYHQ/s72-c/SIRRO1.jpg)
MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini vimejipanga vyema kuhakikisha vinadhibiti vitendo vya uhalifu hasa kutokana na vitendo vya vurugu vinavyoendelea katika nchi jirani ya Msumbiji. Aidha, IGP Sirro, amewataka Watanzaania hususan vijana kuacha kutumiwa na watu wachache wanaowataka wajiingize kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani nchini ikiwemo kufanya uhalifu.IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya wakazi wa eneo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Itf-BRG-ous/Xo8qtvlyF2I/AAAAAAALmq0/RVwmEJapwskhqVJ-ru0QuwwSf5Pg9T4YACLcBGAsYHQ/s72-c/igp%252Bsirro.jpg)
IGP SIRRO TUMEIMARISHA HALI YA USALAMA KUFUATIA VURUGU ZINAZOENDELEA NCHINI MSUMBIJI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Itf-BRG-ous/Xo8qtvlyF2I/AAAAAAALmq0/RVwmEJapwskhqVJ-ru0QuwwSf5Pg9T4YACLcBGAsYHQ/s640/igp%252Bsirro.jpg)
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nchini vimejipanga vyema kuhakikisha vinadhibiti vitendo vya uhalifu hasa kutokana na vitendo vya vurugu vinavyoendelea katika nchi jirani ya Msumbiji.
Aidha, IGP Sirro, amewataka Watanzaania hususan vijana kuacha kutumiwa na watu wachache wanaowataka wajiingize kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani nchini ikiwemo kufanya uhalifu.
IGP Sirro amesema hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya wakazi wa...
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Hali ya usalama Missouri yaimarishwa
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Hali ya usalama nchini Nigeria
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiKviiitYxKsXOKyvoO6xWIQn-IxMdSestBvRQU7LuJRl15xmFBVaDSj0FudrqXzqGquEynFZHWRHxlgtFosRWeE/IMG20150512WA0002.jpg)
KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO
10 years ago
VijimamboRAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*XHmTV1chxJ9v0VVVrpRlXyiXyeBIo36jYHeqB4QMCrgBEvF11gUJe8-R5B6ckSRbTCXQE6yD2DIwl3OxZ60vS*/1.jpg?width=650)
BOL MKOMBOZI WA WATUMIAJI WA SIMU NCHINI HAPA NCHINI
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s72-c/uk-met.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s1600/uk-met.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s6H8gBDNMEY/VIVjIbUrWrI/AAAAAAAG16A/Rbr5217A81c/s72-c/unnamed%2B(68).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...