‘Kuhamahama hurudisha nyuma maendeleo’
Wafugaji wa kitongoji cha Kwebamba, katika Jimbo la Uchaguzi la Bumbuli, wilayani Lushoto, wameanza kutumia mifugo yao kama chachu ya kujiletea maendeleo katika kitongoji chao na kuacha tabia ya kutegemea Serikali na kuhamahama kama ilivyokuwa hapo awali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Simanjiro kuchimba mabwawa kuzuia ufugaji wa kuhamahama
9 years ago
StarTV23 Sep
Wenye shughuli za kuhamahama wako hatarini zaidi kupata VVU:
Utafiti ulioendeshwa na Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na usafirishaji haramu wa binadamu IOM kwa ushirikiano na Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC unaonesha kuwa jamii kubwa inayofanya shughuli za kiuchumi kwenye maeneo ya bandari iko kwenye hatari ya kuambukizwa ugonjwa wa UKIMWI kutokana na kutokuwepo kwa mtandao unaotoa elimu ya kupambana na ugonjwa huo kwenye mazingira yao.
Taarifa hiyo inasema, elimu juu ya matumizi ya kinga bado ni changamoto kwa jamii hiyo hivyo wengi...
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Hivi Baba kipindi cha watu kuhamahama na kusajiliwa katika timu mpya kinakwisha lini?
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Vyumba vya upasuaji vya Kuhamahama Uganda
10 years ago
GPLMFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BEZF91u9VOQ/VJqO6viUH1I/AAAAAAAG5f8/Lox9sldAm5E/s72-c/1220-nyota%2Balfajiri.jpg)
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii chachu ya Maendeleo Wilaya ya korogwe
![](http://4.bp.blogspot.com/-BEZF91u9VOQ/VJqO6viUH1I/AAAAAAAG5f8/Lox9sldAm5E/s1600/1220-nyota%2Balfajiri.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-F_abfF1h3Dc/VJqO7ptSFOI/AAAAAAAG5gE/ELosa9iKgS8/s1600/1239-maafisa%2Bwakiwa%2Bwatatu.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-b7C-A6W7gvc/UwmwgwdZJtI/AAAAAAAFO0o/0oOZ4S1NkYU/s72-c/unnamed+(8).jpg)
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-b7C-A6W7gvc/UwmwgwdZJtI/AAAAAAAFO0o/0oOZ4S1NkYU/s1600/unnamed+(8).jpg)
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...
10 years ago
MichuziMfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF wakutana na wadau wa Maendeleo jijini DSM kufanya Mapitio ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini PSSN.