Kuharibu ni Rahisi Kuliko Kujenga- Lulu
MWIGIZAJI wa kike Bongo Movies Elizabeth Michael anasema baadhi ya watanzania wanapoteza muda wao katika mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuwaumiza wengine na kuwatusi bila sababu, huku wakiwa makini kusikiliza mabaya na kuyavumisha tofauti na taarifa njema zenye faraja kwa jamii.
“Ukiwa kama Binadamu kila jambo ukitaka kulisambaza kwanza tafakari katika nafsi yako, je huyo unayemtenda hana maumivu kama mwanadamu, tumekuwa mabingwa wa kuwaumiza wengine kupitia mitandao ya kijamii bila...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies21 Apr
Lulu: Kuharibu ni Rahisi Kuliko Kujenga
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anasema baadhi ya watanzania wanapoteza muda wao katika mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuwaumiza wengine na kuwatusi bila sababu, huku wakiwa makini kusikiliza mabaya na kuyavumisha tofauti na taarifa njema zenye faraja kwa jamii.
“Ukiwa kama Binadamu kila jambo ukitaka kulisambaza kwanza tafakari katika nafsi yako, je huyo unayemtenda hana maumivu kama mwanadamu, tumekuwa mabingwa wa kuwaumiza wengine kupitia mitandao ya kijamii bila...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Kubomoa ni rahisi kuliko kujenga
INASHANGAZA kuona jengo linachukua mwaka au zaidi kujengwa lakini halimalizi wiki kuvunjwa. Ndivyo yalivyo maisha yetu ya kila siku. wengi tunahangaika kuonekana vizuri mbele ya wengi lakini mwisho tunasahau kurekebisha...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Kukata, kuharibu sehemu za siri
KAMA kawaida tunaanza makala hii na kishtua mada kwa kuwasikiliza washikaji wawili wakijadili jambo na kutuachia ujumbe. Mshikaji 1: Nasikia huko kwenu Mtwara ni washindi wa mambo mawilil; kuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Kukata, kuharibu sehemu za siri — 3
KAMA kawaida tuanze na kishtua mada kutoka kwa washkaji wawili. Mshikaji 1: Juzi Siku ya Wapendanao tulikubaliana na mchumba wangu kwamba kwa kuwa tutaoana; tusifichane siri. Nilimwambia siri yangu kuwa...
10 years ago
BBCSwahili18 Sep
Ebola kuharibu uchumi wa Liberia
10 years ago
BBCSwahili09 Nov
Programu kuharibu vifaa vya apple
10 years ago
Mwananchi02 Apr
ACT ya Zitto kuharibu kura za Ukawa?
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Simu zachangia kuharibu ndoa nchini