Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu: Kuharibu ni Rahisi Kuliko Kujenga

Staa wa Bongo Movies,  Elizabeth Michael ‘Lulu’ anasema baadhi ya watanzania wanapoteza muda wao katika mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuwaumiza wengine na kuwatusi bila sababu, huku wakiwa makini kusikiliza mabaya na kuyavumisha tofauti na taarifa njema zenye faraja kwa jamii.

“Ukiwa kama Binadamu kila jambo ukitaka kulisambaza kwanza tafakari katika nafsi yako, je huyo unayemtenda hana maumivu kama mwanadamu, tumekuwa mabingwa wa kuwaumiza wengine kupitia mitandao ya kijamii bila...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Kuharibu ni Rahisi Kuliko Kujenga- Lulu

MWIGIZAJI wa kike Bongo Movies  Elizabeth Michael anasema baadhi ya watanzania wanapoteza muda wao katika mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuwaumiza wengine na kuwatusi bila sababu, huku wakiwa makini kusikiliza mabaya na kuyavumisha tofauti na taarifa njema zenye faraja kwa jamii.

 

“Ukiwa kama Binadamu kila jambo ukitaka kulisambaza kwanza tafakari katika nafsi yako, je huyo unayemtenda hana maumivu kama mwanadamu, tumekuwa mabingwa wa kuwaumiza wengine kupitia mitandao ya kijamii bila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kubomoa ni rahisi kuliko kujenga

INASHANGAZA kuona jengo linachukua mwaka au zaidi kujengwa lakini halimalizi wiki kuvunjwa. Ndivyo yalivyo maisha yetu ya kila siku. wengi tunahangaika kuonekana vizuri mbele ya wengi lakini mwisho tunasahau kurekebisha...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kukata, kuharibu sehemu za siri

KAMA kawaida tunaanza makala hii na kishtua mada kwa kuwasikiliza washikaji wawili wakijadili jambo na kutuachia ujumbe. Mshikaji 1: Nasikia huko kwenu Mtwara ni washindi wa mambo mawilil; kuwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kukata, kuharibu sehemu za siri — 3

KAMA kawaida tuanze na kishtua mada kutoka kwa washkaji wawili. Mshikaji 1: Juzi Siku ya Wapendanao tulikubaliana na mchumba wangu kwamba kwa kuwa tutaoana; tusifichane siri. Nilimwambia siri yangu kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola kuharibu uchumi wa Liberia

Banki ya dunia imetoa tahadhari kuwa mlipuko wa ugonjwa wa ebola huenda ikaleta balaa ya kiuchumi katika nchi za Guinea, Liberia na Sierra Leone

 

10 years ago

BBCSwahili

Programu kuharibu vifaa vya apple

Programu inayoharibu mifumo ya kompyuta inayoaminika kutoka uchina inalenga kompyuta na vifaa vingine vya kampuni ya Apple

 

10 years ago

Mwananchi

ACT ya Zitto kuharibu kura za Ukawa?

Huenda mpango wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kufanya vizuri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, ukatibuliwa kufuatia tishio lililopo la chama kipya cha siasa cha ACT.

 

11 years ago

Mwananchi

Simu zachangia kuharibu ndoa nchini

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Magomeni Padri Dk Joseph Matumaini amedai kuwa mawasiliano ya simu yametajwa kuwa chanzo cha ndoa nyingi nchini kuvunjika na kusababisha watoto kuzikimbia familia zao na kwenda kuishi maisha ya mitaani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani