Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kubomoa ni rahisi kuliko kujenga

INASHANGAZA kuona jengo linachukua mwaka au zaidi kujengwa lakini halimalizi wiki kuvunjwa. Ndivyo yalivyo maisha yetu ya kila siku. wengi tunahangaika kuonekana vizuri mbele ya wengi lakini mwisho tunasahau kurekebisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Lulu: Kuharibu ni Rahisi Kuliko Kujenga

Staa wa Bongo Movies,  Elizabeth Michael ‘Lulu’ anasema baadhi ya watanzania wanapoteza muda wao katika mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuwaumiza wengine na kuwatusi bila sababu, huku wakiwa makini kusikiliza mabaya na kuyavumisha tofauti na taarifa njema zenye faraja kwa jamii.

“Ukiwa kama Binadamu kila jambo ukitaka kulisambaza kwanza tafakari katika nafsi yako, je huyo unayemtenda hana maumivu kama mwanadamu, tumekuwa mabingwa wa kuwaumiza wengine kupitia mitandao ya kijamii bila...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kuharibu ni Rahisi Kuliko Kujenga- Lulu

MWIGIZAJI wa kike Bongo Movies  Elizabeth Michael anasema baadhi ya watanzania wanapoteza muda wao katika mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuwaumiza wengine na kuwatusi bila sababu, huku wakiwa makini kusikiliza mabaya na kuyavumisha tofauti na taarifa njema zenye faraja kwa jamii.

 

“Ukiwa kama Binadamu kila jambo ukitaka kulisambaza kwanza tafakari katika nafsi yako, je huyo unayemtenda hana maumivu kama mwanadamu, tumekuwa mabingwa wa kuwaumiza wengine kupitia mitandao ya kijamii bila...

 

9 years ago

GPL

TABIA; SILAHA MUHIMU INAYOWEZA KUJENGA, KUBOMOA UHUSIANO

JUMAMOSI nyingine wapenzi wasomaji wa safu hii tunakutana katika uwanja wetu wa kuweza kupata elimu ya uhusiano. Mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu ya kila siku. Bila mapenzi, watu wasingezaana na hata furaha ya maisha isingekamilika kama hakuna mapenzi. Niwashukuru wale wote ambao mlinitumia ujumbe mfupi, mkipongeza kwa mada ya wiki iliyopita iliyokuwa ikifundisha mbinu mbalimbali za kumpata mchumba mwema....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tumia muda wako kujenga maisha yako sio kubomoa ya wengine!

WAHENGA walisema, akili ni nywele na kila mtu ana zake, kwa msemo huo, mimi binafsi nakubaliana nao moja kwa moja kwa kuwa katika hali ya kawaida kila binadamu ana nywele...

 

9 years ago

Habarileo

Achomoa kubomoa jengo pacha

UBOMOAJI wa jengo pacha lenye ghorofa 16, lililopo mtaa wa Indira Ghandi Dar es Salaam, imeshindikana.

 

11 years ago

Habarileo

Kazi ya kubomoa si ya kukurupuka-Prof Tibaijuka

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema tayari imeweka mabango katika maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya wazi vilivyovamiwa. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akizungumza na gazeti hili alisema mabango hayo yaliyowekwa ni kuwataka wakazi waliovamia viwanja vya wazi kuondoka mara moja. Profesa Tibaijuka alisema kuwa bomoabomoa itafanyika katika maeneo hayo hivyo ni vyema wanaojijua kuwa wamevamia wakaondoka mapema.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi huu wa kubomoa ghorofa uwe fundisho

Waswahili husema mzaha mzaha, kidonda hutumbuka usaha. Kauli hii inaweza kufananishwa na kesi na hatimaye hukumu ambayo imetolewa juzi na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam dhidi ya maofisa wawili waandamizi wa wakala wa serikali.

 

9 years ago

Vijimambo

WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NA KUBOMOA NYUMBA YA MGOMBEA UBUNGE CUF MTWARA.

Kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kuibomoa nyumba ya mgombea ubunge wa chama cha wananchi CUF jimbo jipya la nanyamba wilaya ya mtwara vijijini, twahiri saidi baada ya kushindwa kurudisha fomu ya ubunge na kutokomea kusiko julikana huku simu zake za mkononi zikiwa hazipatikani.


Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya viongozi wa chama hicho na wanachi wa jimbo la Nanyamba wamesema mazingira aliyotoweka mgombea huyo  yanaonyesha wazi  kuna mchezo mchafu umefanywa ili...

 

10 years ago

Michuzi

manispaa za jiji la dar es salaam zaagizwa kubomoa majengo katika sehemu za wazi, kusafisha fukwe

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. George Simbachawene akizungumza na viongozi na watendaji wa Manispaa tatu za Jiji la Dar es Salaam kuhusu maagizo ya namna ya kusimamia maeneo ya wazi. Pia, ametoa siku 14 kuanzia jana Alhamisi kwa Manispaa hizo kubomoa maeneo ya wazi yaliyovamiwa ambayo yalikwishatolewa Ilani. Aidha, Naibu Waziri ametoa siku 30 kwa Manispaa ya Kinondoni kuwasilisha ofisini  kwake utaratibu wa namna ya kusafisha fukwe. 

 Watendaji wa Manispaa zote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani