Kukamilika kwa daraja la Mbweni JKT latoa kicheko kwa wananchi!
Daraja lililokuwa linawasumbua mno wakazi na wananchi wa Mbweni JKT, sasa linaelekea mwishoni, hali iliyoanza kuwafurahisha wananchi hao waliokuwa wakisumbuka kuvuka eneo hilo lililokuwa linajaa maji mara kwa mara yanayotoka baharini.
Katika pita pita ya mitandaoni, tuliona picha hizi ambazo tayari zimeshapokewa kwa shangwe kutokana na wananchi hao kuanza kulitumia. Ikumbukwe kwamba kutokuwapo kwa daraja hili kulileta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Kabla ya uwapo wa daraja hili, magari...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0amyU4BLGNk/Vkv2Qu-6iSI/AAAAAAAAJMM/qOgmVVxutm0/s72-c/Daraja%2Bla%2Bmbweni%2Bjkt.jpg)
Kukamilika kwa daraja la Mbweni JKT ni furaha kwa wananchi
![](http://2.bp.blogspot.com/-0amyU4BLGNk/Vkv2Qu-6iSI/AAAAAAAAJMM/qOgmVVxutm0/s640/Daraja%2Bla%2Bmbweni%2Bjkt.jpg)
Katika pita pita ya mitandaoni, tuliona picha hizi ambazo tayari zimeshapokewa kwa shangwe kutokana na wananchi hao kuanza kulitumia. Ikumbukwe kwamba kutokuwapo kwa daraja hili kulileta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Kabla ya uwapo wa daraja hili, magari...
10 years ago
MichuziWakazi na wananchi wa Mbweni JKT wilayani Kinondoni wamuomba DC Makonda apige jicho mradi wa daraja uliokwama
Licha ya mtaa wa Mbweni JKT, jijini Dar es Salaam kujengwa majumba ya kifahari na kupatikana pia nyumba za viongozi mbalimbali wa serikali, miundo mbinu yake, hususan daraja linalojengwa katika eneo hilo ili kuwafanya wananchi wapite kwa urahisi kusua sua. Kwa miaka kadhaa sasa ujenzi wa daraja hilo umesimama.
Pichani ni gari la mwananchi na mkazi wa eneo hilo akipta kwenye maji ambayo mara kadhaa hujikuta wamesimama kwa saa kadhaa, hususan kama eneo hilo litajaa baada ya eneo hilo kujaa...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Kukosekana kwa Daraja katika Mto Saiwa wa kijiji cha Minyughe, kwawa kero kwa wananchi
Diwani mteule (CCM) kata ya Minyughe (wa tatu kushoto mwenye suti ya bluu) Samweli Daniel Sadiki, pamoja na wakazi wa kijiji cha Minyughe,wakiangalia gari aina ya fuso T.662 CBB la kampuni ya Pepsi lililosombwa na maji ya mvua katika mto Saiwa.
Gari aina na fuso T.662 CBB la kampuni ya Pepsi mjini Singida, likiwa limeangushwa na kusombwa na maji ya mvua katika mto Saiwa wa kijiji cha Minyughe wilaya ya Ikungi. Gari lililokuwa linasambaza soda katika vijiji vya kata ya Minyughe lipo mtoni...
10 years ago
MichuziJeshi la Zimamoto jijini Dar latoa mafunzo ya matumizi ya Mtungi wa kuzimia moto kwa wananchi
9 years ago
StarTV28 Dec
Wananchi Mbeya waokoa fedha za Serikali kwa kujenga daraja
WANANCHI wa Vijiji cha Shongo na Izumbwe kata ya Igale Mbeya Vijijini wamefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 20 za Serikali katika kila kijiji baada ya kujenga kwa nguvu zao wenyewe madaraja mawili kwa kutumia mawe na miti bila ya kuweka nondo.
Madaraja hayo ambayo kwa mujibu wa Wataalam yangegharimu zaidi ya shilingi milioni 20 kwa kila moja endapo ujenzi wake ungefuata taratibu za Kiserikali, yamejengwa kwa gharama ya shilingi milioni Tano kila moja fedha zilizochangwa na wananchi...
9 years ago
VijimamboAdha ya Mbweni JKT, Kinondoni
Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
UPIGE mbizi. Ndivyo unavyoweza kusema msemo huu kama unahitaji kupita haraka haraka katika eneo la Mbweni JKT, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, mahala panapojengwa daraja la kuvukia watu kwa miaka mitatu sasa, halina dalili za kukamilika hivi karibuni. Ni eneo tata. Ni eneo linalokera na kusumbua watu mno. Mbaya zaidi, ni eneo lililozunguukwa na majumba ya watu wenye ukwasi au ukubwa wa majina ya viongozi...
9 years ago
TheCitizen16 Dec
False start for JKT Mbweni
11 years ago
Mwananchi27 Mar
JKT Mbweni yaibeba Tanzania
11 years ago
TheCitizen28 Mar
JKT Mbweni in do-or-die clash