Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Kukosa elimu sawa na kibatari’

OFISA Elimu Shule za Sekondari wilayani Temeke Dar es Salaam, Donald Chavilla amesema kukosa elimu ni sawa na kibatari. Alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahafali ya tisa ya kidato...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Elimu yetu sawa na kuchuma papai kwenye mwembe - 2

Hoja yangu tangu wiki iliyopita ni umuhimu wa kuelimisha watu kwa usahihi. Nilisema kuwa kuelimisha watu siyo suala la hiari, siyo suala la kubahatisha, siyo suala la miujiza wala kuhadaa watu. Ni hatua za kifikra na vitendo sahihi. Ni kipaumbele namba moja kwa nchi yoyote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Elimu duni huwaathiri wabakwaji kukosa haki

KWA mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu – Penal code CAP 16  R.E2002; neno kubaka lina maana pana ukilinganisha inavyofahamika kwa watu wengi. Mtu atahesabika kuwa ametenda kosa la...

 

11 years ago

Habarileo

Mfumo wa elimu umejaa nadharia na kukosa vitendo

MFUMO wa elimu nchini umeelezwa kuwa wa kinadharia zaidi kuliko vitendo, jambo ambalo husababisha mwanafunzi kushindwa kutumia kwa dhati ujuzi walionao katika kufanya shughuli kwa vitendo zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

'Wajiuza’ kwa kukosa mikopo ya elimu

Dodoma ya sasa si ya zamani. anayeijua Dodoma ya mwaka 2000, leo imebadilika kwa kiasi

 

10 years ago

Mwananchi

Wajawazito wajifungua kwa mwanga wa kibatari

Kituo cha Afya cha Msanda Muungano kilichopo wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, kinalazimika kutumia chumba kidogo, mwanga wa kibatari na mshumaa nyakati za usiku kwa ajili ya wajawazito kujifungua.

 

11 years ago

Michuzi

Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) wakabidhi Msaada wa Vitabu kwa Taasisi 48 za Elimu nchini.

 Mwenyekiti  wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa neno la shukrani kwa wahisani wakati wa hafla ya kukabidhi  vitabu kwa ajili ya kusaidia  shule 45 na vyuo 3 vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini  Marekani leo jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo na katika ni mwakilishi wa Balozi wa Nigeria nchini Bibi. Abiola Delupe. Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF),...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani