Kumekucha NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza rasmi kuanza kutoa fomu kwa wagombea urais, ubunge na udiwani leo mpaka Agosti 21 saa kumi jioni, huku vyama saba vya siasa vikithibitisha kusimamia wagombea katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Kumekucha Maisha Plus
Shindano la Maisha Plus Mama Shujaa wa Chakula mwaka huu litashirikisha washiriki kutoka nchi mbalimbali za Afrika.
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Kumekucha UKAWA
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiendelea na ziara yake Kanda Ziwa ili kuwalainisha wananchi waunge mkono muundo wa Serikali mbili, vyama vitatu vya upinzani kupitia Umoja wao wa Katiba ya...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Kumekucha michuano NSSF
Wakati michuano ya 11 ya Shirika la Taifa la  Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa mwaka huu ikitarajiwa kuanza Jumamosi.
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-OX2X14FpIjs/U9neIur2gRI/AAAAAAAABbo/c5QQEvqRG3Q/s72-c/sitta.jpg)
Kumekucha Bunge la Katiba
NA MWANDISHI WETU
WAKATI Umoja wa Katiba ya Watanzania (UKAWA), wakiendelea kukaidi matamko ya serikali na viongozi wa dini ya kuwataka kurejea bungeni, vikao vya bunge hilo litaanza rasmi Agosti 5, mwaka huu.
![](http://2.bp.blogspot.com/-OX2X14FpIjs/U9neIur2gRI/AAAAAAAABbo/c5QQEvqRG3Q/s1600/sitta.jpg)
Wajumbe wanaounda kundi la UKAWA, ambao ni kutoka CUF, CHADEMA na NCCR-Mageuzi, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba, walisusia vikao hivyo kwa madai ya kuwepo kwa upendeleo na ubaguzi.
Hata hivyo, baadaye walibadili hoja ya upendeleo na ubaguzi na kuibuka na...
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Kumekucha Kombe la NSSF
Timu za soka na Netiboli za kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) ni miongoni mwa timu 19 zitakazoshiriki mashindano ya kila mwaka ya vyombo vya habari vya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) yaliopangwa kuanza Machi 22 kwenye viwanja vya TCC na Duce, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Kumekucha Uhuru Marathoni
Wanariadha zaidi ya 4000 kutoka ndani na nje ya nchi watachuana kwenye mbio za Uhuru Marathon zitakazofanyika kesho jijini Dar es Salaam.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BKGIxheI*PvvS2K7wpNO0Dlx2J2MFeXYrs54bdU0EzztsstnuTlVFj9M6qPCgmLpFWFAvMXoMwAKhq0Zq30CtB/mawe.jpg?width=650)
MAI, WEMA KUMEKUCHA
Staa wa filamu, Wema Sepetu. Mwandishi Wetu KUMEKUCHA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mtifuano kati ya mtangazaji maarufu wa televisheni, Maimartha Jesse na staa wa filamu, Wema Sepetu baada ya bifu la wawili hao kufika jeshi la polisi. Mtangazaji maarufu wa televisheni, Maimartha Jesse. Akipiga stori na gazeti hili, Maimartha alisema Wema alikuwa na nia ya kumdhalilisha kwani baada ya kumtafuta na polisi na kumkosa,...
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Kumekucha urais 2015
>Kadri uchaguzi mkuu unavyokaribia ndivyo makundi mbalimbali ya jamii yanavyoibuka kwa staili tofauti za kuwashawishi baadhi ya makada ili watangaze nia ya kuwania urais ndani ya CCM.
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Kumekucha Yanga, Azam
>Fainali ya Kombe la Kagame imekuja mapema, hicho ndicho unachoweza kusema baada ya wawakilishi wa Tanzania Bara, Yanga na Azam kukutana katika mchezo wa robo fainali itakayopigwa Jumatano kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania