Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuna wahalifu 1,694 wa vifungo vya nje

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya nchini imesema kuna wahalifu 1,694 wa vifungo vya nje, ambao wanaoendelea kutumikia adhabu zao katika taasisi mbalimbali za umma katika mikoa 18 nchini hadi kufikia Juni mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kuna haja ya kununua chakula kingi kujiandaa na marufuku ya kutotoka nje?

Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu manunuzi ya chakula kingi hasa katika uhifadhi wake katika maeneo yenye miundombinu mibaya ya uhifadhi, pia hali ya uchumi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vijana 70 wahukumiwa vifungo Misri.

Mahakama moja nchini Misri imewahukumu vifungo gerezani vijana 70, kwa kuhusika kupanga mkutano na kundi lililopigwa marufuku.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MUUNGANO WA VISIWA VYA COMORO ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA MATAIFA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb),akimkaribisha Wizarani Waziri wa Mambo ya Nje wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe El-Anrif Said Hassane kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro.Balozi wa Comoro hapa Nchini Mhe.Dr.Ahamada El Badaoui Mohamed(kushoto)akisalimiana na Naibu Waziri Dkt.Mahadhi huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe.El-Anrif Said Hassane(katikati) akishuhudia.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jaji aagiza mahakama kuepuka adhabu za vifungo

Jaji mfawidhi wa mahakama kuu nchini Tanzania, Mwanza, amewataka mahakimu mkoani humo kuepuka kwa kiwango kikubwa kutoa adhabu ya kifungo ikiwa ni sehemu ya kupambana na maambukizi ya Corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Changamoto ya kuosha mikono wakati kuna uhaba wa maji

Fahamu namna ya kuhifadhi maji kwa matumizi ya baadaye

 

10 years ago

GPL

KAMANDA MPINGA: WANANCHI TUPENI TAARIFA KAMA KUNA VITENDO VYA RUSHWA

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa mara waonapo vitendo vya rushwa. Naibu Kamishna Mpinga ameyasema hayo wakati akihojiwa na Global TV Online hivi karibuni.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je kuna hatari gani ya maambukizi unapoogelea baharini na katika mabwawa?

Kwa kuwa hakuna tafiti za moja kwa moja kuhusu uhai wa virusi hivyo katika maji, shirika la Afya duniani WHO limepata mapendekezo yake kupitia ushahidi mwengine wa tafiti za kisayansi kuhusu virusi vya corona.

 

9 years ago

Vijimambo

JAJI MUTUNGI - KUNA UMUHIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA ZANZIBAR KUKUTANA

 
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi (wa pili kushoto) na baadhi ya wajumbe wa Ofisi hiyo. Kushoto ni msajili wa vyama Zanzibar Bw. Rajab Baraka. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Na: Hassan Hamad, OMKR....

 

9 years ago

Michuzi

kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana - Jaji Mutungi

Na: Hassan Hamad, OMKR.
Msajili wa vyama vya siasa Tanzania Jaji Francis Mutungi, amesema kuna umuhimu kwa viongozi wa vyama vya siasa Zanzibar kukutana, ili kutatua mzozo wa kisiasa uliojitokeza.
Amesema Zanzibar ni nchi amani, hivyo hakuna haja ya kuruhusu migogoro ya aina hiyo ambayo inaweza kupelekea kuvurugika kwa amani na kuipotezea sifa Zanzibar katika jamii ya Kimataifa.
Jaji Mutungi akiambatana na baadhi ya wajumbe wa ofisi hiyo ya msajili pamoja na msajili wa vyama kwa upande wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani