Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNA WALIOUMBWA KUTOKUWA NDANI YA NDOA?

SALAMU zangu za heri ya mwaka mpya wa 2015 ziende kwa kila msomaji wa safu hii ya maisha.  Katika mada yangu ya leo, nimeanza na kichwa cha habari chenye swali. Lakini naamini tutakwenda sawasawa mpaka mwisho. Nimeuliza kwenye utambulisho kuwa; kuna walioumbwa kutokuwa ndani ya ndoa? Hapa nina maana ya mwanamke na mwanaume! KWANZA TUFAHAMU HILI
Kwanza napenda ieleweke kuwa ndoa ni mpango wa Mungu kwa wanadamu. Ndoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUNA WANAOISHI KWA RAHA NA VIMADA KULIKO NDANI YA NDOA

Nisiku nyingine tena tunakutana katika jungu kuu lisilokosa ukoko, katika  uchambuzi  mzuri na wenye mashiko kuhusu maisha na mapenzi.Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya kwa kuzungumza na wanaume kadhaa walio kwenye mahusiano, (hasa wana ndoa) nimegundua baadhi ya wanaume wamejikuta wakijiingiza katika masuala ya ulevi na kuchepuka (kwa kuwa na vimada) kwa sababu ya karaha wanazokutana nazo kwa wake zao. Nilichobaini wanaume...

 

10 years ago

GPL

JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?

Watu wengi wamekuwa wakiwasiliana nasi wakihusisha haya mambo mawili hasa wanaume pasipo kujua kama yanahusiana kwa ukaribu au laa. Na kwa maana hiyo, leo watu wengi wataweza kujua uhusiano wa haya mambo mawili yaani miungurumo ya tumbo, tumbo kujaa gesi na miungurumo ya hapa na pale katika kushiriki tendo la ndoa au kupungukiwa na nguvu katika kushiriki tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu huitwa constipation, yaani mtu kuwa na...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Ukiona Jirani Anafaidika Na Mali Yako....Jua Kuna Mchawi Ndani Ya Nyumba Yako-Lulu

Kwa upande wa fasheni hakuna anebisha kuwa  mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni DIVA wa ukweli kwa hapa Bongo na Afrika, Akitupia picha hizi Lulu aliandika msomo huu,

“Ukiona jirani anafaidika na mali yako....jua kuna mchawi ndani ya nyumba yako”

Mimi sijui alikuwa anamaanisha nini, lakini nadhani kila mtu anaweza kutafsiri kwa namna alivyo muelewa.Jambo la msingi jionee picha hizo alizopigwa na Slide Visuals..Enjoy!!

 

10 years ago

Bongo5

Vituko vya Valentine’s day: Ndoa zafungwa kwa staili yake ndani ya jeneza siku ya wapendanao! (Picha)

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand. Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao. Chanzo: Daily Mail

 

11 years ago

Michuzi

KUNRADHI YA MJENGWABLOG KUTOKUWA HEWANI

NDUGU ZANGU,
MJENGWABLOG HAIKO HEWANI TANGU JANA SAA TATU USIKU. NI KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI KWENYE DATA CENTRE NCHINI MAREKANI ZINAKOHIFADHIWA.
WAHUSIKA WALIOKO KWENYE DATA CENTRE WANAFANYA KAZI KATIKA KILA DAKIKA KUHAKIKISHA HITILAFU HIYO INAREKEBISHWA HARAKA IWEZEKANAVYO.
KWA SASA UNAWEZA KUENDELEA KUTUPATA KWENYE URSTREAM KWANZAJAMII RADIO, WEBSITE KWANZAJAMII.COM, FACEBOOK: KWANZAJAMII RADIO FANS
POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI,
MAGGID...

 

11 years ago

Mwananchi

Faida ya wabunge kutokuwa mawaziri

Dodoma.  Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Chiligati amesema mabadiliko ya Katiba yatakayofuta haki ya mbunge kuwa Waziri, yataongeza uwajibikaji kwa umma.

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi ni zao la Kutokuwa na hofu ya Mungu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema watanzania wengi hivi sasa wamekosa kitu muhimu na cha thamani katika maisha yao, ambacho ni kutokuwa na hofu ya Mungu.

 

10 years ago

Vijimambo

UFISADI NI SAO LA KUTOKUWA NA HOFU NA MUNGU

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akihubiri katika ibada ya Krisimasi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo katika Kanisa la Azania Front jijini Dar es Salaam Amesema kufuatia hali hiyo Tanzania imejikuta ikiingia kwenye vitendo vya rushwa na ufisadi, huku viongozi waliopewa dhamana na wananchi wakiweka mbele maslahi yao binafsi badala ya Taifa.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema watanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani