Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNA WANAOISHI KWA RAHA NA VIMADA KULIKO NDANI YA NDOA

Nisiku nyingine tena tunakutana katika jungu kuu lisilokosa ukoko, katika  uchambuzi  mzuri na wenye mashiko kuhusu maisha na mapenzi.Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya kwa kuzungumza na wanaume kadhaa walio kwenye mahusiano, (hasa wana ndoa) nimegundua baadhi ya wanaume wamejikuta wakijiingiza katika masuala ya ulevi na kuchepuka (kwa kuwa na vimada) kwa sababu ya karaha wanazokutana nazo kwa wake zao. Nilichobaini wanaume...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUNA WALIOUMBWA KUTOKUWA NDANI YA NDOA?

SALAMU zangu za heri ya mwaka mpya wa 2015 ziende kwa kila msomaji wa safu hii ya maisha.  Katika mada yangu ya leo, nimeanza na kichwa cha habari chenye swali. Lakini naamini tutakwenda sawasawa mpaka mwisho. Nimeuliza kwenye utambulisho kuwa; kuna walioumbwa kutokuwa ndani ya ndoa? Hapa nina maana ya mwanamke na mwanaume! KWANZA TUFAHAMU HILI
Kwanza napenda ieleweke kuwa ndoa ni mpango wa Mungu kwa wanadamu. Ndoa...

 

11 years ago

GPL

NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA! - 2

NATAMANI kuona maisha ya kimapenzi ya vijana wa sasa yakiwa hayana migogoro. Ni furaha yangu kuona vijana wakifanikiwa katika kazi zao na maisha yao kwa ujumla. Maisha bora au utaratibu mzuri wa maisha unatokana na uhusiano mwema wa mhusika na mwenzake.Aliyegombana na mpenzi wake usiku uliopita, siku yake huwa nzito sana kazini. Kila anachokifanya hukumbuka ugomvi wa usiku ulivyokuwa. Kama mtu ataondoka nyumbani akiwa hana...

 

11 years ago

GPL

NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA!

VIJANA wengi wa sasa wanatamani kuingia kwenye ndoa wakiwa na mitazamo mbalimbali; mingi mizuri. Nasema hivyo nikimaanisha kuwa, wanaamini wakiwa kwenye ndoa, watatimiza ndoto zao za muda mrefu. Hupiga picha kuhusu idadi ya watoto watakaozaa, namna watakavyowasomesha na jinsi ambavyo familia itakuwa yenye furaha. Kifupi wanafikiria zaidi kuhusu mambo ambayo yatawafurahisha. Kamwe hawapati muda wa kufikiria namna ya kukabiliana...

 

11 years ago

GPL

NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA! - 3

NIMEFURAHI tumekutana tena hapa katika All About Love, safu ambayo inatengeneza maisha ya wengi kuhusu uhusiano wao. Bila shaka hata wewe umebadilika sana baada ya kuwa mdau wa kona hii. Hata hivyo, wale ambao ndiyo kwanza mmeanza kusoma ukurasa huu, mnatakiwa kujivunia sana maana ni sehemu sahihi zaidi ya kujifunza kuhusu uhusiano na maisha. Tunaangalia kuhusu ndoa, leo ikiwa ni sehemu ya mwisho.  Je, unawaza nini katika...

 

10 years ago

Vijimambo

USWAHILI KUNA RAHA SANA

Kwa wale tuliokulia kitaa hii tuna miss sana jikumbushe na wewe kipindi hicho ulikuwa wapi 

 

10 years ago

Bongo Movies

Flora:Kuzaa Kuna Raha Yake!!

Mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Flora Mvungi ‘H-Mama’ ambae ni mama wa mtoto mmoja, amewashinikiza wasanii wenzake wa kike kuzaa mapema huku akiwataka kuingia kwenye hatua ya kuitwa mama na kusema kuzaa kuna raha yake.

Akizungumza na mwandishi wa GPL, Flora alisema baadhi ya mastaa wamekuwa na dhana potofu kwamba, ukizaa unazeeka na utakuwa hufanyi starehe, jambo ambalo halina ukweli.

“Mimi nawashauri wazae tu, kuzaa kuna raha yake bwana. Unajua starehe haziishi, kikubwa ni wao kuzaa fasta...

 

10 years ago

GPL

JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?

Watu wengi wamekuwa wakiwasiliana nasi wakihusisha haya mambo mawili hasa wanaume pasipo kujua kama yanahusiana kwa ukaribu au laa. Na kwa maana hiyo, leo watu wengi wataweza kujua uhusiano wa haya mambo mawili yaani miungurumo ya tumbo, tumbo kujaa gesi na miungurumo ya hapa na pale katika kushiriki tendo la ndoa au kupungukiwa na nguvu katika kushiriki tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu huitwa constipation, yaani mtu kuwa na...

 

10 years ago

GPL

KUNA AFADHALI UKIMFUMANIA MUMEO NA DEMU MZURI KULIKO WEWE

WIVU ni neno lililosheheni maana nyingi kwenye maisha ya kila siku. Mtu anaweza kukasirishwa na mafanikio ya mwingine, huo pia ni wivu.Lakini ile tabia ya mwenza kutoka kimapenzi na mwingine, wengine wanaita usaliti ni wivu mkubwa zaidi na unagharimu maisha ya wengi duniani. Zipo kumbukumbu zinazoonesha kwamba, mamilioni ya watu wamepoteza maisha kutokana na kukutwa au lugha rahisi kufumaniwa na wenye wenza wao. Kuna wenza...

 

11 years ago

GPL

TATIZO LA KUTOPATA RAHA WAKATI WA TENDO LA NDOA

Wapo ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata raha, husikia maumivu, mwanaume katika uume lakini ni mara chache sana kulinganisha na wanawake. Mwanamke ndiye husumbuliwa zaidi na tatizo hili. Mwanamke anaweza kukosa raha kabisa na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni ukeni au kwa ndani zaidi. Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo ambayo ndiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani