Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kundi la Bracket lakanusha uvumi uliosambaa Nigeria kuwa wao ni mashoga

Members wa kundi la Bracket ambao hivi karibuni wamemshirikisha staa wa Tanzania, Diamond Platnumz kwenye wimbo wao mpya, wamekanusha uvumi uliosambaa Nigeria kuwa wao ni mashoga. Kwa mujibu wa Naij.com, members wa kundi hilo Smash na Vash waliiambia SaturdayBeats kuwa mwanzoni baada ya kuzisikia taarifa hizo waliamua kukaa kimya kwa sababu ni za uongo. “Sisi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Zaidi ya watu 1500 wajitangaza kuwa mashoga Iringa

Kukithiri  kwa biashara haramu ya ngono pamoja na tabia ya ushoga mkoani Iringa kunadaiwa kusababishwa na baadhi ya vijana wa vyuo vikuu wanafika mkoani humo kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu, huku miongoni mwao wakitaka starehe zilizo nje ya uwezo wao.

Tamaa ya kumiliki vitu vya thamani – ni miongoni mwa mambo yanayotajwa  kuwahadaa baadhi ya wasomi hao wa vyuo vikuu, jambo linalosababisha wengi wao kuangukia katika wimbi la biashara ya ngono na ushoga na kuufanya  ongezeko la maambukzi...

 

9 years ago

Bongo5

Drake akanusha uvumi kuwa amemchumbia Serena Williams

Kuliibuka uvumi kuwa rapper Drake amemchumbia mcheza tennis mahiri Serena Williams ambaye inaaminika kuwa wanauhusiano licha ya kuwa wao binafsi hawajathibitisha. Baada ya taarifa hiyo kusambaa mtandaoni jana, mwakilishi wa Drake aliiambia TMZ kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote. Jarida la OK liliandika story Alhamisi hii kuwa Drake alimchumbia Serena walipoenda Canada nyumbani kwao Drake, […]

 

10 years ago

Michuzi

MAMA MARIA NYERERE AKANUSHA UVUMI ULIOENEA JANA KUWA AMEFARIKI DUNIA


Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere leo amezungumza na waandishi wa habari,nyumbani kwake Msasani jijini dar es salaam juu ya uvumi ulioenea nchini kuwa amefariki Dunia.

Mama Maria amewathibitishia watanzania kuwa bado yu hai na mwenye nguvu hivyo wasiwe na hofu nae. Alisema jana amepokea simu nyingi sana kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo watoto zake, wake wa watoto zake wote, familia yake pamoja na watu mbalimbali ili kumjulia hali.
Amesema alipopokea taarifa hizo wala hakushtushwa...

 

9 years ago

Bongo5

David Beckham akanusha uvumi kuwa ana mpango wa kuigiza kama James Bond

Mwakilishi wa mchezaji mstaafu wa soka wa Uingereza, David Beckham ameiambia Daily Mail kuwa staa huyo hana mpango wowote wa kuigiza kama James Bond. Winga huyo wa zamani wa Manchester United amekanusha ripoti zilizosambaa kuwa ana mpango wa kugombea nafasi ya kuigiza kama James Bond mwakani, licha ya kuwa mashabiki wamejaribu pia kumuomba afanye hivyo. […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari

Matokeo mapya yalichapishwa kwenye jarida la kisayansi limesema kuwa uundwaji huu ulikuwa wa utulivu , miamba ikijikusanya pamoja

 

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band: Tuna kila sifa za kuwa kundi kubwa la muziki Afrika

Yamoto Band

Msanii wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka amesema show zao za mwisho walizofanya nchini Marekani na Uingereza zimewafanya waone wana nafasi kubwa ya kutoboa kimataifa zaidi.

Yamoto Band

Aslay ameiambia Bongo5 Jumatatu hii kuwa kutokana na show nne walizofanya Ulaya zimewafanya waone ukubwa wao kwa mashabiki wa nje.
“Mashabiki wetu wa Ulaya walikuwa hawaamini kama ni sisi ndiyo tunafanya kile wanachokiona kutokana na umri wetu,” alisema.

“Lakini tunashukuru Mungu tulifanya show nzuri hali ambayo...

 

9 years ago

Bongo5

Kundi la Navy Kenzo lachaguliwa kuwania tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria

Kundi la Navy Kenzo limechaguliwa kuwania kipengele cha Kundi Bora La Muziki katika tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria.

Navy Kenzo Naija Awards

Makundi mengine ya Nigeria ambao yanawania kipengele kimoja na Navy Kenzo ni Dupi 2, Connect Music Group (Cmg), Ace Republic, Dp-Kings na Betrose.

Kura zimeanza kupigwa November 8, 2015 na zitafungwa December 31, 2015. Washindi wa tuzo hizo watatangazwa January 2, 2016 na sherehe ya utolewaji wa tuzo itafanyika January 26, 2016 jijini Lagos, Nigeria.

Navy...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Kundi la Best Life Music (Burundi), lashoot video ya wimbo wake na muongozaji wa Rwanda baada ya Hanscana kuwa ‘busy’

Kundi la muziki la nchini Burundi liitwalo Best Life Music, limelazimika kufanya video na muongozaji wa video wa nchini Rwanda, Meddy baada ya Hanscana waliyemtaka awali afanye video hiyo kubanwa na majukumu mengine. Meneja wa kundi hilo Kent-P, ameiambia Bongo5 kuwa baada ya wimbo ‘Better Than’ kupata nafasi Tanzania na katika nchi za Ivory Coast, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani