Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kura ya hapana: Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar atimuliwa

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amemtimua kazi Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (AG), Othman Masoud Othman.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kura ya hapana yawagawa Zanzibar

Uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (AG), Othman Masoud Othman wa kupinga vifungu 22 vya Rasimu ya Katiba na kupiga kura ya hapana, umeibua mjadala mkali Zanzibar na kuwapasua vichwa wanasheria, wanasiasa na wananchi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwanasheria Mkuu Zanzibar anastahili pongezi

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amemtimua kazi Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar (AG), Othman Masoud Othman. Ingawa Rais Shein amefanya mabadiliko hayo kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Zanzibar...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDD AKANUSHA MADAI MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA GAZETI LA MTANZANIA KUHUSU KUJIUZULU KWA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd akikanusha taarifa zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania la Jumatano 24 Septemba, 2014.Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mohammed Aboud akichangia mada wakati wa mkutano na waandishi wa habari Gazeti hilo.Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo wakifutailia kwa makini taarifa toka Balozi Seif Ali Idd. (Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma. 
MAKAMU wa...

 

10 years ago

GPL

MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR, OTHMAN MASOUD OTHMAN AFUTWA KAZI

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman. RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, leo amemfuta kazi Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman na nafasi yake kuchukuliwa na Said Hassan Said. Rais Shein amefanya uteuzi huo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 55 (1) cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge!

PIX 1

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

PIX 2

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Pigeni kura ya hapana

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka Watanzania kujiandaa kupiga kura ya hapana dhidi ya katiba itakayopelekwa kwao ikiwa na muundo wa serikali mbili unaotakiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki wapiga kura ya Hapana

Maelfu ya raia wa Ugirik usiku wa leo wametawanyika katika mitaa ya mjini Anthens karibu na jengo la bunge,

 

10 years ago

Dewji Blog

CUF yapongeza kura za hapana

magdalena-sakaya

Naibu Katibu Mkuu wa  Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara Magdalena Sakaya.

Na Mwandishi wetu

CHAMA   Cha Wananchi (CUF), kimewapongeza  Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kupiga kura ya wazi ya hapana kuhusu Rasimu inayopendekezwa licha ya kuchukua posho zote za Bunge hilo wakati wakijua fika kuwa hakuna Katiba isiyokuwa na maridhiano.

Akizungumza katika Mikutano ya hadhara katika Vijiji vya Isakamuleme na Silambo vilivyopo katika Kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani