Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KURA YA MAONI, NI TURUFU YETU WANANCHI, TUSIICHEZEE

Mwandishi Eric Shigongo
NIWASALIMU wote kwa jina la Mwenyezi Mungu, kwani bila yeye hakuna lisilowezekana. Nimekuwa nikiwahimiza siku zote ndugu zangu, bila kujali imani mbalimbali za dini tunazoziabudu, tutenge muda kwa ajili ya kumshukuru Mungu, kwa sababu yeye ndiye kila kitu. Sisiti kurudia, tena na tena kusisitiza kuwa tuko hivi tulivyo leo kwa sababu ya mapenzi yake, kwa sababu kama angetaka, wewe usingepata muda wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

10 years ago

Vijimambo

KILA LA HERI BINTI YETU ZAHARA KWENYE KURA ZA MAONI ZA UBUNGE WA CCM VIJANA MKOANI TABORA


Na Jeff Msangi wa TBN UghaibuniNyota njema huonekana asubuhi. Bila shaka umewahi kusikia msemo huu. Kwa Zahara Muhidini Issa Michuzi, nyota yake njema ni tunu ya uongozi. Tangu alipoweza kutambua maana na tofauti ya jambo jema na baya, amekuwa kiongozi.Muhtasari wa maisha yake unaonyesha alizaliwa mnano tarehe 2 Septemba mwaka 1987 Nzega mkoani Tabora. Amesomea katika shule zifuatazo;

*Shule Ya Msingi Rufita, Tabora- 1995-2001

*Shule Ya Sekondari Kazima, Tabora-2002-2005

*Shule Ya Sekondari Ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Elimisheni wananchi kabla ya kura ya Maoni

 Kampeni za kuelekea upigaji wa kura ya maoni kuhusu mchakato wa Katiba Inayopendekezwa zinatarajiwa kuanza Machi 30, mwaka 2015.

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa kuhamasisha wananchi wasipige kura ya maoni Katiba mpya

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza rasmi kutoshiriki katika mchakato wa kura ya maoni ya katiba na kwamba kuanzia sasa vitahamasisha wananchi kuunga mkono.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanawake wana kura ya turufu uchaguzi huu

Vita na tambo zilizoambatana na vijembe, kejeli na vitimbi kwa wagombea kupitia kampeni za uchaguzi bado inaendelea, huku kila mgombea akipiga hesabu ya kuteka kundi lolote litakaloweza kumuongezea idadi ya kura.

 

10 years ago

Michuzi

Maoni ya Kinana juu ya muungano baada ya wananchi wa scotland kupiga kura

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONI YA KINANA BAADA YA WANANCHI WA SCOTLAND KUPIGA KURA KUUNGA MKONO MUUNGANO


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.

Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.

Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani