Kura ya maoni Ugiriki kutoa suluhu?
Kura ya maoni Ugiriki inatarajiwa kuweka wazi hali ya kiuchumi ya nchi hiyo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Jun
Ugiriki yaidhinisha kura ya maoni
Bunge la Ugiriki limeidhinisha kura ya maoni iliyokuwa imeitishwa na waziri mkuu wa nchi hiyo Alexis Tsipras
10 years ago
BBCSwahili25 Sep
Murray:sijutii kutoa maoni kuhusu kura
Andy Murray amesema kuwa hajutii kitendo cha kutoa maoni kuhusu Scottland japo amekosolewa
10 years ago
MichuziNews alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...
11 years ago
Mwananchi16 Apr
Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni
>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.
10 years ago
MichuziWANANCHI MANISPAA YA MOSHI WAALIKWA KUTOA MAONI JUU YA OMBI LA MUWSA KUBADILI BEI YA KUTOA HUDUMA YA MAJI.
Na Dixon Busagaga.Moshi.
MAMLAKA ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) inakusudia kuongeza bei ya kutoa huduma za maji kwa watumiaji wake ,lengo likiwa ni kutaka kuendelea kufanya maboresho katika utolewaji wa huduma hiyo.
Kwa mujibu wa ombi Na,TR-W-15-008 kutoka Muwsa kwenda Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji(EWURA) Mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi imetaka kuongeza beo ya huduma zake kwa mwaka 2015/2016 HADI 2017/2018.
Mabadiliko ya bei hiyo...
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni
Watanzania wamegawanyika kuhusu kura za maoni ambazo zinafanywa nchini humo huku uchaguzi mkuu ukikaribia.
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Ugiriki yaonywa Kura ya 'La'
Kanda inayotumia sarafu ya Euro inasema kura ya 'La' haitasaidia Ugiriki kutatua matatizo yake ya kifedha.
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Ugiriki wapiga kura ya Hapana
Maelfu ya raia wa Ugirik usiku wa leo wametawanyika katika mitaa ya mjini Anthens karibu na jengo la bunge,
10 years ago
Michuziwapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga
Wananchi wa Jimbo la Ukonga wakiwa nyumbani kwa mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea, Jerry Silaa.Mgombea Jerry Silaa akishukuru wapiga kura baada ya kuibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania