KUTOKA DODOMA: WABUNGE WAWALIPUA BONGO MUVI

Stori: WAANDISHI WETU SKENDO nzito ya Bongo Muvi imeibuliwa na baadhi ya wabunge waliopo mjini Dodoma kufuatia kuwalipua wasanii wake kuwa, ni ombaomba balaa, Risasi Jumamosi lina mkanda mzima. Kwa mujibu wa wabunge hao ambao walitaka majina yao yasitiriwe kwa sasa, baadhi ya wasanii hao ambao wengi ni mastaa wamekuwa wakiwazukia na kuwapiga mizinga jambo linalowashangaza hasa wakizingatia kuwa, wapiga mizinga hao wana majina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Wabunge wawalipua mawaziri
11 years ago
GPL
BONGO MUVI WACHAFUKA!
11 years ago
GPL
BONGO MUVI KIMENUKA
11 years ago
GPL
BONGO MUVI KUNA MASHOGA!
11 years ago
GPL
MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI
10 years ago
GPL
WAMEONDOKA NA BONGO MUVI YAO!
11 years ago
GPL
MTANDAO WA NGONO BONGO MUVI
5 years ago
Bongo Movies02 Mar
Duma Kuirudisha Bongo Muvi
Msanii wa filamu bongo, Daudi Michael maarufu kama ‘Duma’ amesema lengo la yeye kumuita nchini msanii kutoka nchi ya Australia John K ni kutaka kuirudisha hadhi ya filamu ambayo imepotea kwa kipindi kirefu katika macho ya watu.
Duma amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV muda mchache baada ya kumpokea mgeni wake huyo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.
“Watanzania wanapaswa watupe ushirikiano sana...
11 years ago
GPL
CATHY: BONGO MUVI INAKUFA