Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA MAKTABA: MWALIMU NA WALIOKUWA WAANDISHI WAKE WA HABARI

1985 (siku 10 kabla Mwalimu hajastaafu Urais) : Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na waliopata kuwa Waandishi wake wa habari katika picha ya kumbukumbu Ikulu, Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Sammy Mdee (RiP) , Paul Sozigwa, Mwalimu (RiP) Hashim Mbita na Benjamin William Mkapa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kutoka Maktaba. DKT JOHN POMBE MAGUFULI ENZI ZA UJANA WAKE

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Maghufuli alipokuwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)  Makutopora mwaka 1983 kwa mujibu wa sheria

 

5 years ago

Michuzi

JET ILIVYODHAMIRIA KUWEKA MKAKATI WAKE WA KUENDELEA KUWAONOA WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA NCHINI TANZANIA

 Sehemu ya waandishi wa habari za mazingira kutoka vyombo mbalimbali nchini wakiwa kwenye mafunzo yaliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira(JET) hivi karibuni jijini Dar  es Salaam kwa lengo la kuwajengea uwezo.
Mkurugenzi Mtendaji wa JET John Chikomo(kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya JET Dk.Ellen Utaru  Okoedion wakijadilana jambo wakati wa mafunzo hayo.


:Mwandishi Sidi Mgumia akitoa uzoefu wake katika masuala ya uandishi wa habari za mazingira na uhifadhi wakati wa semina...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA NCHI ZAIDI YA 14 BARANI AFRIKA WAPEWA MAFUNYO YA UCHUNGUZI WA UHALIFU NCHINI MAURITIUS

 Mtaalam wa Maswala ya Uchunguzi wa Uhalifu (Crime and Investigation) kutona nchini Uingereza,Steven Gaskin (kulia) akizungumza wakati wa kutoa mafunzo kwa waandini wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi mbali mbali barani Afrika ya namna ya kuweza kuchunguza na kuweza kubaini mwalifu katika tukio lolote,katika mafunzo yaliyofanyika jana kwenye ufukwe wa hoteli ya Trou Aux Biches,Mauritius.Mafunzo hayo yametolewa ikiwa ni sehemu kujionea kazi mbali mbali zinachoonyeshwa kwenye DSTV na GOTV...

 

10 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI WAKISUBIRI JINA LA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA USIKU HUU

 
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Tumaini Makene akizungumza na waandishi habari  hivi punde juu kinachoendelea katika mkutano wa kutafuta mgombea wa Urais kwa tiketi ya UKAWA, uliofanyika katika Hoteli ya Colesseum jijini Dar es Salaam,Makene amesema majadiliano hayo sio urais tu bali kuna mipaka ya majimbo mapya jinsi watavyojipanga katika kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Makene amezidi kuwataka waandishi wawe na subira kusubiri maamuzi...

 

11 years ago

Michuzi

Mtendaji Mkuu wa MultiChoice Africa azungumza na waandishi wa habari kutoka nchi mbali mbali barani Afrika

Mtendaji Mkuu wa MultiChoice Africa,Nico Meyer akizungumza na baadhi ya Waandishi kutoka vyombo vya mbali mbali vya habari barani Afrika (wahapo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika wao wa kuzungumzia shunguli zinazofanya na MultiChoice Afrika kwenye ukumbi wa hoteli ya Trou Aux Biches,Morisi nchini Mauritius.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa MultiChoice Africa,Caroline Creasy.  Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa MultiChoice Africa,Caroline Creasy akifafanua jambo mbele ya...

 

10 years ago

Michuzi

Kutoka Maktaba: Magufuli - (2005) tutasafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami

WANANCHI wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami,hayo yalisemwa Bungeni Mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi John Magufuli alipokua akijibu swali la Martha Mlata (Viti Maalum-CCM), swali lililohoji juu ya ahadi ya Serikali katika kipindi cha awamu ya nne na ahadi hiyo iliyosema wananchi wataweza kusafiri kwa taxi toka Mtwara hadi Bukoba.
Waziri Magufuli alisema kuwa nia ya msemo huo ni kuonesha kwamba wananchi wataweza kusafiri toka Mtwara hadi Bukoba kwa lami...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani