KUTOKA UKUMBI WA KILIMANI MJINI DODOMA HIVI SASA
![](http://1.bp.blogspot.com/-sztf5t_u-vM/VFirgRI22TI/AAAAAAAGvZ0/Ak_lSa9yrPI/s72-c/unnamed%2B(92).jpg)
Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye Ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma tayari kwa kumsikiliza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Profesa Jakaya Mrisho Kikwete wawakati wowote kuanzia sasa. Usikose kuangalia mazungumzo hayo ambayo tayari yanaoneshwa moja kwa moja kupitia:
TBC One pamoja na mtandao wa www.ikulu.go.tz
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ssMoq4f1XWg/VFiTJ-h5QRI/AAAAAAAGvXo/767h10faOA4/s72-c/0L7C3835.jpg)
NEWS ALERT: TBC KUONESHA LIVE RAIS KIKWETE ANAPOONGEA NA WAZEE WA DODOMA WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA UKUMBI WA KILIMANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ssMoq4f1XWg/VFiTJ-h5QRI/AAAAAAAGvXo/767h10faOA4/s1600/0L7C3835.jpg)
IMETOLEWA NA KITENGO CHA
MAWASILIANO YA RAIS IKULU, DAR ES SALAAM
NOVEMBA 4, 2014
11 years ago
MichuziTASWIRA KUTOKA UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lL3jjVikQK4/Uyw6xxSCUzI/AAAAAAAFVVk/lQK2xasphDs/s72-c/JK-Sensa.jpg)
RAIS KIKWETE AKILIHUTUBIA LIVE BUNGE MAALUM LA KATIBA HIVI SASA MJINI DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-lL3jjVikQK4/Uyw6xxSCUzI/AAAAAAAFVVk/lQK2xasphDs/s1600/JK-Sensa.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-t9MMg9q3G9c/VWHkpWrjPnI/AAAAAAAHZh8/XOEErdAUZuQ/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
JK atoa Msaada kwa Timu ya Kilimani Sports Club mjini Dodoma
![](http://4.bp.blogspot.com/-t9MMg9q3G9c/VWHkpWrjPnI/AAAAAAAHZh8/XOEErdAUZuQ/s640/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboRais Kikwete atoa Msaada kwa Timu ya Kilimani Sports Club mjini Dodoma
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi timu ya soka ya Kilimani Sports Club jezi na mipira katika ikulu ndogo ya mjini Dodoma leo asubuhi.Rais Kikwete alitoa msaada kwa timu hiyo baada ya kuwakuta vijana hao wakifanya mazoezi bila zana bora katika uwanja wa mpira ulioko eneo la Kilimani karibu na ikulu wakati Rais alipokuwa akifanya mazoezi ya kutembea katika eneo hilo.Wakiongea mara baada ya kupokea msaada huo vijana hao walimshukuru Rais Kwa moyo wake wa upendo na nia yake ya kukuza...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-2hNp-EUbRWI/VVcAWGkPYRI/AAAAAAAHXi0/Mc7FZs7wjM8/s72-c/unnamed%2B(39).jpg)
Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM mjini Dodoma
![](http://4.bp.blogspot.com/-2hNp-EUbRWI/VVcAWGkPYRI/AAAAAAAHXi0/Mc7FZs7wjM8/s640/unnamed%2B(39).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PPoubQmBvSI/VVcAWEBh1yI/AAAAAAAHXi8/_6hzT83UDzc/s640/unnamed%2B(40).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-2hNp-EUbRWI/VVcAWGkPYRI/AAAAAAAHXi0/Mc7FZs7wjM8/s72-c/unnamed%2B(39).jpg)
PICHA: UKUMBI MPYA WA MIKUTANO WA CCM MJINI DODOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-2hNp-EUbRWI/VVcAWGkPYRI/AAAAAAAHXi0/Mc7FZs7wjM8/s640/unnamed%2B(39).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PPoubQmBvSI/VVcAWEBh1yI/AAAAAAAHXi8/_6hzT83UDzc/s640/unnamed%2B(40).jpg)
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-MI4ePceVJks/VZ5ZYx3c4dI/AAAAAAAAgz8/ZoAqT2ViPGU/s640/1.jpg)
JK AZINDUA UKUMBI WA KISASA WA MIKUTANO WA CCM MJINI DODOMA
10 years ago
Dewji Blog17 May
JK akagua ukumbi mpya wa mikutano wa kimataifa unaojengwa na CCM mjini Dodoma
![](http://4.bp.blogspot.com/-2hNp-EUbRWI/VVcAWGkPYRI/AAAAAAAHXi0/Mc7FZs7wjM8/s640/unnamed%2B(39).jpg)
Muonekano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano uliojengwa na CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika kabla ya kuanza kutumika.Ukumbi huu upo karibu na jengo la Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma – UDOM.
![](http://2.bp.blogspot.com/-PPoubQmBvSI/VVcAWEBh1yI/AAAAAAAHXi8/_6hzT83UDzc/s640/unnamed%2B(40).jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na CCM. Kulia ni makamu...