Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa hili jipya la ‘StarTimes’ mawe yameiva na kuni zimebaki.

Waswahili wanasema ukichemsha mawe kuni zinaisha kumaanisha kuwa kuna vitu haviwezekani, lakini Startimes wamekuja kivingine kabisa na kuonyesha kumbe mawe yanaweza yaaiva, kuni ndio zikabaki. 
Startimes Tanzania, wale magwiji wa dijitali wametuletea watanzania Androi Application ambayo inakuwezesha kufuatilia chaneli uzipendazo huku ikikupa taarifa za vipindi vyako usivikose. Kama hiyo haitoshi, Tenbre itakuwezesha kuchat na watazamaji wengine wa vipindi uvipendavyo, manatazama kipindi kisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CHEF ISSA ATOA SOMO LA KUBANIKA MKATE KWA KUTUMIA KUNI KWA VIJANA WA SCOUT UGHAIBUNI

Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana! Chef Issa anashukuru Allah kupata  bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scoutHuu ndio mkate wenyewe...

 

5 years ago

Michuzi

MR IBU MUIGIZAJI MAARUFU ALIYEANZA MAISHA KWA KUUZA KUNI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV


ANAFAHAMIKA zaidi kwa jina la "Mr.Ibu" ni John Ikechukwu Okafor mwigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Nigeria, Okafor anatajwa kuwa mchekeshaji mashuhuri ndani na nje ya nchi hiyo anayemiliki utajiri mkubwa kupitia sanaa yake.

Okafor alizaliwa Oktoba 17, 1961 katika mji wa Enugu, Kusini Mashariki mwa Nigeria, alizaliwa na kukulia huko pamoja na kupata elimu yake ya msingi na sekondari pia an taaluma ya uandishi wa habari aliyoipata katika chuo cha (IMT.) Tangu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Uongozi wa StarTimes waishukuru Serikali kwa ushirikiano mzuri inaowapa

PIX1

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akimkaribisha ofisini kwake Makamu wa Rais wa Kampuni ya Star Times Tanzania Bi. Zuhura Hanif leo jijini Dar es Salaam.

PIX2a

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akielezea jambo wakati wa mazungumzo baina yake na uongozi wa Star Times waliomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. LEO...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja StarTimes kununua king’amuzi kwa shilingi 4000

Meneja Mauzo wa StarTimes Tanzania, David Kisaka (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa bei mpya ya king’amuzi kitakakochouzwa kwa shilingi 4000 sambamba na kifurushi kipya cha NYOTA cha malipo ya 4000 kwa mwezi, kulia pamoja naye ni Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Jacky Yu. Bei hiyo mpya ya king’amuzi na kifurushi itamfanya mteja afurahie chaneli zisizopungua 16 ikiwa 9 ni za kimataifa na 7 za nyumbani kwa muda wa miezi saba na nusu. Baadhi ya...

 

9 years ago

Michuzi

STARTIMES YAKABIDHI JEZI KWA TIMU ZA LIGI DARAJA LA KWANZA SFDL

 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Bw. Lanfang Liao (katikati) akimkabidhi jezi mmoja wa wawakilishi wa timu zinazoshiriki ligi daraja la kwanza ya StarTimes (SFDL) wakati wa hafla ya kukabidhi jezi hizo iliyofanyika jijini Dar es Salaam Jumatano. Kushoto akipiga makofi ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bw. Jamal Malinzi. (Picha na mpiga picha wetu). Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Bw. Lanfang Liao (Kushoto) akimkabidhi jezi mmoja...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mambo yameiva ndani ya banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya Sabasaba!

DSC_0004

Muonekano wa lango kuu la kuingia ndani ya banda la Makampuni ya MeTL Group kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam yaliyozinduliwa rasmi jana kwa kupewa baraka na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sefu Iddi katika Uwanja wa Maonesho wa Mwalimu J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.

DSC_0008

Utajiuliza kwani LG wapo ndani ya Banda la MeTL Group kwenye maonyesho ya Sabasaba kwa sababu MeTL Group wamekuwa Mawakala waliothibitishwa Tanzania nzima (Authorized...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani