Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MR IBU MUIGIZAJI MAARUFU ALIYEANZA MAISHA KWA KUUZA KUNI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV


ANAFAHAMIKA zaidi kwa jina la "Mr.Ibu" ni John Ikechukwu Okafor mwigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Nigeria, Okafor anatajwa kuwa mchekeshaji mashuhuri ndani na nje ya nchi hiyo anayemiliki utajiri mkubwa kupitia sanaa yake.

Okafor alizaliwa Oktoba 17, 1961 katika mji wa Enugu, Kusini Mashariki mwa Nigeria, alizaliwa na kukulia huko pamoja na kupata elimu yake ya msingi na sekondari pia an taaluma ya uandishi wa habari aliyoipata katika chuo cha (IMT.) Tangu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Muigizaji atishiwa maisha yake kwa sababu ya kudansi

Nermine Sfar muigizaji kutoka nchini Tunisia amesema amepokea vitisho dhidi ya maisha yake kutoka kwa kundi la jihadi baada ya kuanza kupeperusha video za moja kwa moja akicheza

 

5 years ago

BBCSwahili

Muigizaji maarufu wa filamu Idris Elba atangaza kuambukizwa virusi vya Korona.

Kupitia mitandao ya kijamii- muigizaji maarufu raia wa Uingereza Idris Elba ametangaza kuwa ameambukizwa virusi vya Korona.

 

11 years ago

GPL

LETTIE MATABANE: MUIGIZAJI MAARUFU WA ISIDINGO AFARIKI DUNIA LEO! ALIKUWA AKIISHI NA VIRUSI!

Lesego Motsepe (Lettie Matabane), enzi za uhai wake Mwaka 2011 Lettie aliwahi kujitangaza kuwa anaishi…

 

11 years ago

Mwananchi

Jaguar; mwanamuziki milionea aliyeanza kwa kuosha magari

Zipo baadhi ya kauli za Wahenga wa Kiswahili ambazo siyo rahisi kutimia au uhaliasia wake kuonekana kwa haraka katika maisha ya kila siku.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Muigizaji wa Kenya apoteza maisha kwenye ajali mbaya akiwa na gari ya kifahari

Muigizaji wa tamthilia nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Nana Gichuru Jumanne hii alipoteza maisha kwa ajali mbaya ya gari baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lori. Nana enzi za uhai wake Polisi na mashuhuda walidai kuwa muigizaji huyo huenda alikuwa akijaribu kuyapita magari kadhaa mbalimbali wakati akiwa kwenye gari yake aina […]

 

11 years ago

Michuzi

CHEF ISSA ATOA SOMO LA KUBANIKA MKATE KWA KUTUMIA KUNI KWA VIJANA WA SCOUT UGHAIBUNI

Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana! Chef Issa anashukuru Allah kupata  bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scoutHuu ndio mkate wenyewe...

 

5 years ago

BBCSwahili

Msichana aliyeendesha baiskeli ili kunusuru maisha ya baba yake amekuwa maarufu India

Msichana aliyeendesha baiskeli ili kunusuru maisha ya baba yake amekuwa maarufu nchini India

 

10 years ago

Michuzi

Kwa hili jipya la ‘StarTimes’ mawe yameiva na kuni zimebaki.

Waswahili wanasema ukichemsha mawe kuni zinaisha kumaanisha kuwa kuna vitu haviwezekani, lakini Startimes wamekuja kivingine kabisa na kuonyesha kumbe mawe yanaweza yaaiva, kuni ndio zikabaki. 
Startimes Tanzania, wale magwiji wa dijitali wametuletea watanzania Androi Application ambayo inakuwezesha kufuatilia chaneli uzipendazo huku ikikupa taarifa za vipindi vyako usivikose. Kama hiyo haitoshi, Tenbre itakuwezesha kuchat na watazamaji wengine wa vipindi uvipendavyo, manatazama kipindi kisha...

 

9 years ago

Mtanzania

AMBER ROSE ATEKWA NA MR. IBU

Amber-and-Mr-IbuMPENZI wa zamani wa Wiz Khalifa, Amber Rose, ameonekana kuvutiwa na mwigizaji kutoka nchini Nigeria,
John Okafor ‘Mr Ibu’ kutokana na filamu yake ya Sugar Daddy.

Filamu hiyo ya Sugar Daddy imefanya vizuri nchini Nigeria, lakini kwa sasa imevuka mipaka ambapo imefika
nchini Marekani na kumgusa mrembo huyo.

Kupitia Instagram, Amber Rose aliweka picha ya msanii huyo na kudai kwamba ni ‘bonge la msanii’ ambaye
anavutiwa naye.

“Mr Ibu, anafanya vizuri, nimependa kile ambacho amekifanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani