Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA MAGUFULI LAZIMA WAKAE!

LAZIMA wakae! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia umati mkubwa kujitokeza kumsindikiza mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli (pichani)kwenda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Posta-Mpya, jijini Dar, Amani linakupa mchapo kamili.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1gc063K

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lazima wakae Ngao ya Jamii

WAKISHANGILIA GORI (4)Wachezaji wakishangilia baada ya mchezoNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

LAZIMA wakae! Hizo ndizo tambo za mashabiki, makocha wa timu za Azam na Yanga kuelekea mchezo wao wa kuwania Ngao ya Jamii utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam saa 10.00 leo jioni.

Mchezo huo wa aina yake ni kwa ajili ya kufungua pazia la Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2015/16, utakaoanza rasmi Septemba 12, mwaka huu.

Kocha Mkuu wa Azam, Mwingereza Stewart Hall, amesema kuwa anataka kuendeleza rekodi yake ya kutwaa mataji mfululizo kwa kuifunga Yanga...

 

5 years ago

BBCSwahili

Magufuli: Atahadharisha kutofanya safari za lazima kuepuka virusi vya corona

Rais John Magufuli ametahadharisha watanzania kutopuuza ugonjwa huu, akiwataka kuchukua hatua ili kudhibiti ili usiingie Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE KESSY ASEMA RAIS DK.MAGUFULI, ATAKE ASITAKE LAZIMA AONGEZEWE MUDA

*Asema anasumbuliwa na marafiki zake, wanamuuliza nani baada ya Magufuli?
Na Said Mwishehe,Michuzi TVMBUNGE wa Jimbo la Nkasi Ally Kessy(CCM) ameliambia Bunge kuwa kuna kila sababu ya Rais Dk. John Magufuli aongezewe muda wa kuwa Rais huku akisisitiza kuwa Rais atake au asitake lazima aongeze muda.
Amesema yeye(Kessy) amekuwa akipata tabu sana kwani amekuwa akiulizwa na marafiki zake wa ndani na nje ya nchi kwamba baada ya Magufuli nani anafuata lakini jibu lake analowajibu ni kwamba Rais...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tishio la EBOLA, wananchi wakae chonjo

ebola_QT1_1433[1]

Pichani ni baadhi ya  Daktari wakiwa wamembeba mgonjwa wa EBOLA picha kwa hisani ya Mtandao.

Na Hannah Mayige,  wa Chuo Kikuu Huria, OUT

TISHIO la ugonjwa wa Ebola unaoendelea kuuwa mamia ya watu Afrika Magharibi, umezua wasiwasi  mkubwa   kwa nchi za Afrika  na  dunia nzima  kwa  ujumla na kutakiwa watanzania kuchukua tahadhari  kubwa kudhibiti ugonjwa huo usiingie nchini.

Lazima  Serikali na wananchi  wazingatie masharti na tahadhari inayotolewa kimataifa kuudhibiti ugonjwa na utayari...

 

10 years ago

Mwananchi

JK awaambia polisi wakae mguu sawa

>Rais Jakaya Kikwete amelikata Jeshi la Polisi nchini kujiandaa kikamilifu ili kukabiliana na vurugu zozote zitakazojitokeza wakati wa uandikishaji wapigakura, upigaji Kura ya Maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu ataka wenzake wakae majimboni

MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema wabunge wanatakiwa kutambua majimboni si sehemu ya kupakimbia na wapaone kuwa ni nyumbani kwao. Alitoa kauli hiyo jana bungeni alipokuwa akizungumza na...

 

5 years ago

CCM Blog

"PIGA UA GARAGAZA" MJI WA SERIKALI WA MTUMBA LAZIMA UITWE MAGUFULI CITY-JAFO

“Nitamshawishi Mzee Mkuchika na wengine huu Mji wa Serikali (Mtumba) uitwe Magufuli City, japokuwa najua Rais wangu hupendi mambo hayo lakini tutakulazimisha, Mji huu umeujenga wewe, hata ukikataa, tutakulazimisha piga ua garagaza lazima hapa kieleweke tu”-JAFO

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wasitoe amri, wakae na vyama vya siasa

Katikati ya wiki, Jeshi la Polisi lilitoa maelekezo kuwa kuanzia sasa wagombea urais kutoka vyama mbalimbali vya siasa, hawataruhusiwa kuambatana na misafara wakati wa kwenda kuchukua fomu na kuzirudisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

 

10 years ago

GPL

NI LAZIMA MUACHANE KWA UGOMVI?

Nianze kwa kumshukuru Maulana kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya. Ni matumaini yangu kwamba na wewe msomaji wangu uko poa kabisa, karibu jamvini tubadilishane mawazo na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Imewahi kukutokea kwamba licha ya kuwahi kumpenda au kupendana na mtu fulani, imefika hatua mambo yote hayawezi kuendelea tena, moyo umekinai, hisia zimekufa na jambo pekee...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani