Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa nini mataifa ya kiarabu hayawachukui wakimbizi wa Syria

Picha za wakimbizi wa Syria waliokwama katika mipaka na vile vile katika vituo vya treni bila kutaja picha ya mvulana mdogo wa miaka mitatu Alan Kurdi aliyekuwa amesombwa na maji katika ufukwe wa bahari wa Uturuki zimezua hisia kwa juhudi zaidi kuchukuliw

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Kwa nini nchi za Kiarabu haziwachukui wakimbizi wa Syria

Wakimbizi wa Syria
Picha za wakimbizi wa Syria waliokwama katika mipaka na vile vile katika vituo vya treni bila kutaja picha ya mvulana mdogo wa miaka mitatu Alan Kurdi aliyekuwa amesombwa na maji katika ufukwe wa bahari wa Uturuki zimezua hisia kwa juhudi zaidi kuchukuliwa ili kuwasaidia wale wanaotoroka vita.

Hasira zaidi zimelenga mataifa ya uarabuni kama vile Saudi Arabia,Bahrain,Kuwait,Qatar,Oman na UAE ambao wamefunga milango yao kwa wakimbizi hao.

Kufuatia ukosoaji huo,ni muhimu...

 

5 years ago

BBCSwahili

11 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Syria, mzigo kwa Lebanon

Idadi ya wakimbizi waliotoroka Syria na kukimbilia Lebanon imeongezeka na kufika watu milioni moja. Lebanon inasema huu ni mzigo mkubwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Mataifa ya milki za kiarabu kukabili IS

Muungano wa milki ya nchi za kiarabu unasema kuwa unatuma ndege za kivita aina ya F-16 kwenda nchini Jordan kusaidia taifa hilo

 

10 years ago

BBCSwahili

Mataifa ya kiarabu yataka suluhu Libya

Kundi la mataifa ya nchi za magharibi limetaka kuwepo kwa hatua za dharaua kutafuta suluhu ya kisiasa nchini Libya

 

10 years ago

BBCSwahili

Mataifa ya kiarabu kubuni jeshi la pamoja

Rais wa Misri Abdul Fattah al-Sisi amesema kuwa viongozi wenzake wa nchi za kiarabu wamekubali kuunda jeshi la pamoja.

 

9 years ago

BBCSwahili

UN;yawatetea wakimbizi wa Syria.

Umoja wa mataifa umetoa wito kwa serikali ya Jordan kuwaruhusu wakimbizi wanaokadiriwa kufikia elfu kumi na mbili wa Syria ..

 

9 years ago

BBCSwahili

Ugaidi: Wakimbizi Syria wabanwa

Kitengo cha misaada cha umoja wa mataifa kimetoa onyo juu ya suala la wakimbizi kutoka Syria kwamba hawapaswi kupewa uhuru mkubwa kufuatia shambulio la mjini Paris

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yadhibiti kambi ya wakimbizi Syria

Wapiganaji wa kundi la Islamic State nchini Syria wameingia na kuchukua udhibiti wa kambi kubwa ya wakimbizi wa Palestina

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani