Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mataifa ya kiarabu kubuni jeshi la pamoja

Rais wa Misri Abdul Fattah al-Sisi amesema kuwa viongozi wenzake wa nchi za kiarabu wamekubali kuunda jeshi la pamoja.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mataifa ya milki za kiarabu kukabili IS

Muungano wa milki ya nchi za kiarabu unasema kuwa unatuma ndege za kivita aina ya F-16 kwenda nchini Jordan kusaidia taifa hilo

 

10 years ago

BBCSwahili

Mataifa ya kiarabu yataka suluhu Libya

Kundi la mataifa ya nchi za magharibi limetaka kuwepo kwa hatua za dharaua kutafuta suluhu ya kisiasa nchini Libya

 

10 years ago

BBCSwahili

Kwa nini mataifa ya kiarabu hayawachukui wakimbizi wa Syria

Picha za wakimbizi wa Syria waliokwama katika mipaka na vile vile katika vituo vya treni bila kutaja picha ya mvulana mdogo wa miaka mitatu Alan Kurdi aliyekuwa amesombwa na maji katika ufukwe wa bahari wa Uturuki zimezua hisia kwa juhudi zaidi kuchukuliw

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.

 Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ambaye pia ni Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, taarifa ya ujenzi la Jengo laa  linalotarajiwa kuwa Makao Makuu ya Jeshi hilo, alipotembelea Ofisi za Jeshi hilo zilizoko TAZARA ,jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza  na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani),...

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri yataka jeshi la pamoja kuundwa

Misri imetaka kuwepo kwa kikosi cha pamoja cha nchi za kiarabu kukabiliana na vikundi vya wapiganaji vinavyochipuza .

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) yatoa gari kwa jeshi la magereza arusha

 Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) imetoa msaada wa gari lililoimarishwa kiusalama - amored vehicle - linaloonekana nyuma kwa Idara ya Magereza nchini kwenye sherehe fupi iliyofanyika mjini Arusha. Akikabidhi gari hilo Mkugenzi wa Idara ya Utawala wa ICTR Dr. Saraha Kilemi alisema kuwa msaada huo ni shukrani za mahakama hiyo kwa Idara hiyo kwa ushirikiano iliyoutoa kwa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka zaidi ya 20 ya kazi za mahakama hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI NCHINI LAPIGA MARUFUKU MISAFARA YA KWENDA KUCHUKUA FOMU NEC PAMOJA NA KUSAKA WADHAMINI

          Na Lorietha Laurence –Maelezo. 

Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. 
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman Kaniki amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KITENGO CHA USALAMA BARABARANI PAMOJA NA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MADEREVA NA ABIRIA KUPAZA SAUTI

Mkuu wa kitengo cha elimu kwa Umma kitengo cha Usalama barabarani makao makuu ya Polisi ASP,Abel Swai(kushoto) akitoa ufafanuzi kwa Maofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro pamoja na Ofisa wa Vodacom Tanzania, Heladius Kisiwani(katikati) kabla ya kuanza zoezi la kutoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi wakati wote wakitumia vyombo vya moto ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya”Wait to Send”inayoendeshwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani