Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI MWANAUME WA ZAMANI AKUVUNJIE NDOA?

BILA shaka yoyote kwamba mmeamka na afya njema na mnaendelea vizuri sana na ujenzi wa taifa, hasa kipindi hiki cha siasa kushika hatamu kuelekea uchaguzi mkuu, mwezi ujao. Mimi kura yangu ni siri yangu. Leo mada yetu ni kwa nini mwanaume wako wa zamani awe sababu ya wewe kuvunja ndoa yako? Mada ambayo imekuja kutokana na ujumbe nilioandikiwa na msomaji wangu mmoja nami kujikuta katika msukumo wa kuiandika. Simu ndiyo iliyotibua...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?

Watu wengi wamekuwa wakiwasiliana nasi wakihusisha haya mambo mawili hasa wanaume pasipo kujua kama yanahusiana kwa ukaribu au laa. Na kwa maana hiyo, leo watu wengi wataweza kujua uhusiano wa haya mambo mawili yaani miungurumo ya tumbo, tumbo kujaa gesi na miungurumo ya hapa na pale katika kushiriki tendo la ndoa au kupungukiwa na nguvu katika kushiriki tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu huitwa constipation, yaani mtu kuwa na...

 

9 years ago

GPL

KWA NINI MITANDAO IVURUGE NDOA UHUSIANO WAKO?

NI Jumatatu nyingine murua Mungu anatukutanisha tena kwa neema zake katika kilinge chetu cha XXLove kujuzana kuhusu maisha ya uhusiano.Wiki iliyopita tulijadili namna ambavyo huwezi kuyaepuka mapenzi kwa sababu ya maumivu uliyowahi kuyapata au unayapata ila utapumzika kwa muda tu. Leo nakukaribisha kwenye mada tamu inayohusu matumizi na mapokeo mabovu ya mitandao ya kijamii kama mada inavyojieleza.Kumekuwa na wimbi kubwa la watu...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-5

Natumaini utakuwa u-mzima wa afya kabisa. Kwa wiki kama nne mfululizo tumekuwa tukiangalia juu ya tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia sababu za tatizo hilo na tukaangalia athari zake na wiki iliyopita na kujifunza njia za kutatua tatizo hilo. Kama ilivyo matatizo mengine tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa sana kama...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4

Tumekuwa tukiangalia tatizo la wanawake wengi kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia jinsi tatizo hili linavyoisumbua jamii yetu pia tumejua kuwa mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa si jambo la kawaida ni tatizo linaloweza kutibika. Zifuatazo ni njia za kuondoa tatizo hilo. Wengi wanatarajia kuambiwa wameze dawa fulani ili kuondokana na tatizo hilo. Ukweli ni kwamba ili mtu kurejea katika hali ya kawaida. Kama...

 

10 years ago

Vijimambo

Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu


Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume...

 

10 years ago

GPL

IRENE PAUL AISHI NA MWANAUME BILA NDOA

Na Rhoda Josiah Angelina Jolie wa Bongo’ Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia. Angelina Jolie wa Bongo, 'Irene Paul'. Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema; “Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi...

 

9 years ago

Vijimambo

UTATA : MWANAUME ALIYEMVALISHA PETE JACKY WOLPER ,PICHA YAVUJA AKIWA NA MKE WA NDOA

Juzi mitandaoni habari iyomake headline sana kwa upande wa wasanii ilikuwa ni habari ya Mwigizaji Jack Wolper kuvishwa pete ya uchumba.. Sasa jana Watu wameibua jipya huku instagram imetapakaa picha ikimuonyesha mwanaume aliyemvisha pete Jack Akiwa na Mkewe ikimaanisha tayari ana ndoa ..
Kitu ambacho wengi hatujaelewa na wengine wakisema labda ile ya Jack akivishwa pete ni. Movie mpya..Picha hii hapa chini!
CHANZO: UDAKU SPECIALLY

 

11 years ago

Michuzi

bunge la kenya laridhia ndoa ya wake wengi, mwanaume halazimiki kushauriana na mkewe kuwa anaoa tena

Bunge nchini  Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo.

Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita, hata hivyo ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini  wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema  za watoto, hasa wasichana.

Siku hiyo ya Alhamisi Wabunge wote wanaume, ambao ni wengi, waliunga mkono kuondolewa kwa kipengele katika Sheria hiyo ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hoja:Nini kinateteresha ndoa Tanzania?

Kadri ya miaka inavyozidi kwenda mbele inaonekana ni rahisi wanandoa kufikia hatua ya kutamkiana wazi kuwa sasa basi na kweli inakuwa basi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani