Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI NAMLILIA BI SHARIFA HUSSEIN KALALA


Dkt. Ramadhani K Dau


Ilikuwa siku ya ijumaa tarehe 21 Februari 2020 kiasi cha saa 4 usiku kwa saa za Malaysia wakati Mhe Balozi AshaRose Shaaban Mtengeti-Migiro aliponipigia simu kutaka kuzungumza na mimi kuhusu mambo mawili. 
La kwanza lilikuwa la kiofisi lakini la pili ilikuwa kunipa taarifa kuwa Bi Sharifa Hussein Kalala anaumwa na hali yake ni mbaya sana. Kwa maneno yake Balozi Migiro, “kilichobaki ni Rehma ya Mwenyezi Mungu”.


Kwa hakika nilihuzunika na kushituka sana. Nilihuzunika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HONGERA SHARIFA OTHMAN KWA KUKAMATA NONDO

 Sharifa Othman wa Dar-Es-Salaam akiwa kwenye pozi na nguo yake ya heshima siku ya graduation yake iliyofanyika Raila Odinga Ground. Sharifa Othman aligraduate na kujipatatia nondo za barchelor of pubblic relations and marketing katika Universty ya St Augustine huko Mwanza.Vijimambo timu inatoa pongeza kwa Mama mzazi wa Sharifa kwa kuwezesha watoto wake kutimiza ndoto zao za kupata elimu za juu. Sharifa akismile mbele ya ukodak baada ya kujianda tayari kwa kuenda kupokea nondo zake...

 

10 years ago

Vijimambo

HARUSI YA SHARIFA NA HAITHAM TORONTO CANADA

Haitham na Sharifa wakiingia ukumbini kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Oct 11, 2014 jijini Toronto, Canada.Bwana na bibi harusi wakijiandaa kukata keki.Bwana na bibi harusi wakikata keki.Bwana harusi akimlisha keki bibi harusiBwana na bibi harusi katika picha ya pamoja na ndugu,jamaa na marafiki waliohudhuria sherehe ya harusi yao.picha ya pamoja.kwa picha zaidi bofya soma zaidi


 

5 years ago

Michuzi

HUSSEIN MAKUNGU 'BHAA' "NIKIPATA URAIS NITAKUZA UCHUMI WA ZANZIBAR NA AJIRA KWA VIJANA


NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR

MWAKILISHI wa Jimbo la Mtoni na Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya
 Muungano, kupitia nafasi tano za Uwakilishi, Mhe. Hussein Ibrahim Makungu maarufu "Bhaa' amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Bhaa amepongeza Demokrasia ndani ya CCM kwa wenye sifa kujitokeza kuwania nafasi hiyo nyeti na endapo atapitishwa kugombea Urais ameahidi ataleta mageuzi ya kiuchumi na ajira kwa Vijana huku kudumisha Muungano uliopo...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kalala ajisalimisha Best Records Salasala

MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Komandoo Hamza Kalala anatarajia kurekodi vibao vipya, baada ya kuingia katika studio ya  Best Records ya Salasala, jijini Dar es Salaam huku akiahidi...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Simulizi ya Hamza Kalala ‘Komandoo’-1

Kuna wanamuziki ambao wamejipatia umaarufu mkubwa kupitia tasnia ya muziki, kwa kuufanya uvutie ndani na nje ya nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani