Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI UKUBALI MPENZI AKUDHALILISHE KISA PESA ZAKE?

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia ukurasa huu namba moja kwa kuandika makala kali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi. Ni matumaini yangu umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mpenzi msomaji wangu, kama ulikuwa hujui ni kwamba mapenzi ya sasa yameingiliwa! Kama ni muziki basi waswahili wanasema disko limeingiliwa na Mmasai. Nasema hivyo kutokana na yale...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KWA NINI UKUBALI PENZI LIFE UNAONA WAKATI BADO MNAPENDANA?

Mpenzi msomaji wangu, hivi umewahi kuhisi kwamba penzi lako limefikia mwisho japo bado upo na mpenzi wako, mchumba au mumeo/mkeo? Yaani upoupo tu, zile hisia tamu za mapenzi ulizokuwa nazo wakati mnayaanza mapenzi yenu hazipo tena, hufurahii kuwa naye, hamzungumzi mkaelewana badala yake kila siku ni ugomvi na migogoro isiyoisha! Kila unachokisema au atakachokisema hata kama ni kizuri vipi kinakuwa sawa na petroli kwenye moto,...

 

10 years ago

GPL

UKIJIFOSI KUMPENDA KISA MALI, PESA ZAKE, IMEKULA KWAKO!

Wakati fulani huwa najiuliza kwa nini tunakuwa na wapenzi, kwa nini mapenzi yakawepo? Kwa nini tunaoa ama kuolewa? Kwa nini baadhi ya watu huamua kujinyonga baada ya kuachwa na wapenzi wao? Kwa nini mapenzi yamekuwa sehemu ya maisha yetu? Kwa nini mapenzi yameharibu baadhi ya maisha ya watu? Huwa najiuliza maswali mengi yenye kwa nini, yakihusisha mapenzi. Kwa ujumla kama nilivyo na maswali mengi, majibu pia yamekuwa mengi. Kwa...

 

11 years ago

GPL

KISA ANAKUPENDA KWA DHATI NDIYO UMTESE MPENZI WAKO?

NDUGU zangu, mapenzi yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku. Hakuna anayeweza kusimama na kusema, hataki kujihusisha nayo kwa namna yoyote, akijitokeza huyo atakuwa na matatizo ya akili. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammisi, lazima utahisi kupungukiwa kitu fulani muhimu katika maisha yako. Lakini...

 

9 years ago

GPL

KWA NINI UMUACHE MUMEO KISA UMEMFUMANIA?

Habari zenu wasomaji wa safu hii, bila shaka ni wazima na mnaendelea vema na kazi za kulijenga taifa letu ambalo limejaa amani tele. Kwa hilo namshukuru Mungu hata uchaguzi umeisha salama, leo nimekuja na mada mpya ya kukupa ujasiri ili usiikimbie nyumba yako kwa sababu umemfumania mumeo. Wanawake wengi wamekuwa na tabia ya kuwafuma waume zao na kwa hasira kuamua kuwaacha na kwenda nyumbani wakishakaa huko wanaanza kutamani...

 

10 years ago

GPL

ALIKUWA MPENZI WAKO, KWA NINI SASA UMHARIBIE?

WAPENZI wa XXXLove tunakutana tena leo kwa rehema na kudra za Maulana. Nami bila hiyana nawakaribisha wasomaji wangu kwa moyo mkunjufu, karibuni! Leo nitazungumza na watu ambao walikuwa na mahusiano mwanzoni, baadaye mapenzi yao yakafika mwisho na kila mtu kuanza maisha yake mapya. Kwa bahati nzuri mwenza wako kaolewa ama kuoa na wewe bado uko bachela, kwa nini uanze kumsumbua? Hilo ni tatizo, tena tatizo kubwa sana ambalo...

 

10 years ago

GPL

HUKATAZWI KUMFUATILIA MPENZI WAKO LAKINI KWA NINI UMFUATILIE?

Mapenzi ya zama hizi yamejaa changamoto nyingi sana. Usaliti umekuwa mwingi kiasi kwamba, kila anayeingia kwenye uhusiano anajipa asilimia chache za kutosalitiwa. Ndiyo maana leo hii hakuna anayeweza kusimama na kusema hasalitiwi na mpenzi wake, kila mmoja kwa wakati flani hujihisi kuibiwa lakini anajaribu kupotezea mawazo hayo ili asijikoseshe amani. Ni kweli, ukitaka mapenzi yakukoseshe amani, itakuwa hivyo! Utashindwa kufanya...

 

11 years ago

Michuzi

Kufikia kikomo kwa Windows XP, nini athari zake kwa mtumiaji?


Mnamo tarehe 8/4/2014 kampuni ya utengenezaji wa mitambo endeshi ya kompyuta (Operating Systems) ya Microsoft ilisitisha utoaji wa huduma za muda mrefu kwa mitambo ya XP, ni moja ya mitambo endeshi inayotumika na watu wengi sana.Tangu kutoka kwa taarifa hizo, kumekuwa na maneno na mikanganyiko mingi mno kwa wateja hususan hapa Tanzania.
Kwakuwa ni mitambo inayotumika kwa weingi kwenye kompyuta nyingi zinazotumika kwenye mabenki na maofisini, hivyo watu walifika mbali hata kusema eti pesa...

 

10 years ago

GPL

KISA WIVU, AMWAGIWA MAJI YA MOTO NA MPENZI WAKE

Juma Ally akionyesha jeraha alilolipata baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpenzi wake. Na Haruni Sanchawa
MAPENZI kiboko! Juma Ally, mkazi wa Mongolandege Ilala jijini Dar es Salaam, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpenzi wake, Swaumu Shemsanga, kisa kikidaiwa kupishana kauli kwenye mazungumzo yao. Anayedaiwa kummwagia maji ya moto Juma Ally. Chanzo makini kimelieleza gazeti hili kuwa tukio...

 

10 years ago

Vijimambo

AMCHINJA MPENZI WAKE MPAKA KUFA KISA WIVU WA MAPENZI

Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisuMwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake leo jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani