Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA UENDESHAJI HUU AJALI ZITAKWISHA NCHINI?

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KWA UZEMBE HUU AJALI ZITAKWISHA KWELI?

DEREVA wa basi la Abood linalofanya safari zake Dar-Moro akijaribu kuyapita magari manne akiwa mwendo kasi katika maeneo ya Kibamba - Darajani jijini Dar leo huku mbele yake likija lori kwa kasi. Ili kuepusha ajali hiyo, ilibidi madereva wa magari yaliyokuwa mbele waingie pembezoni mwa barabara ili kulinusuru basi hilo lisigongane uso kwa uso na lori. Je, kwa hali hii ni kweli ajali zitakwisha nchini? (Picha na Global Whatsapp...

 

10 years ago

Michuzi

Nacte yatoa taratibu za uendeshaji wa mafunzo ya ufundi nchini

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa Ubora wa Mafunzo wa (NACTE) Agnes Ponera na Msaidizi wa Katibu Mtendaji...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi kutoka Finland yatafuta ubia wa uendeshaji mafunzo nchini

Mshauri Mwandamizi, Bw. Shielles Tenaw, (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Pancras Bujulu, (katikati) wakimfuatilia kwa makini mmoja wa wanafunzi wa Fani ya Ufundi Mitambo (Fitter Mechanics), katika Chuo cha VETA Dar es Salaam, akiwaonesha utendaji kazi wa mashine na mitambo mbalimbali walipotembelea Karakana y Ufundi Mitambo, Chuoni hapo.Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Omnia Espoo, Sampo Suihko, (kushoto), akifuatilia kwa makini maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Pancras Bujulu,...

 

10 years ago

GPL

NACTE YATOA TARATIBU ZA UENDESHAJI WA MAFUNZO YA UFUNDI NCHINI‏

Kaimu katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Adolf  Rutayuga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari hawapo (pichani) wakati alipokuwa akiongea nao makao makuu ya ofisi hizo yaliyopo Mikocheni  jijini Dar es Salaam, kuhusiana na  maamuzi mbalimbali yaliyofanywa  na baraza hilo katika kuratibu uendeshaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ukaguzi na ufuatiliaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI WA HUDUMAZA AJIRA NCHINI

Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw Ridhiwan Wema pichani, akiongea na Wanahabari hawapo pichani katika ukumbi wa Habari –Maelezo kuhusiana na Suala la la Wakala wa Huduma za Ajira nchini. Kushoto pichani ni Kamishna wa Kazi Bw.Saul Kinemela na kulia pembeni ni Bw Ally Msaki Mkurugenzi wa Ajira wote kutoka Wizara ya Kazi na Ajira.

 

10 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE: “Serikali yafuta vikwazo vyote kwa Madereva Nchini..magari yaanza safari muda huu

waziri KabakaWaziri wa Kazi na Ajira nchini, Gaudensia Kabaka akiongea na madereva kwa kutumia kipaza sauti mapema mchana huu na kufuta baadhi ya vikwazo walivyokuwa wakivipinga madereva.

..Mgomo wadumu masaa 9..abiria waonja shubiri ya mabomu ya machozi ..Kamanda Kova, Waziri Kabaka ‘Mashujaa’ wamaliza mgomo ‘kiana’ Madereva wawasubiri Aprili 18

Andrew Chale wa Modewji blog

Hali ya mambo katika ‘segere’ la Madereva Nchini la kuweka mgomo baridi la kutoingia barabarani hadi hapo madai yao ya msingi...

 

11 years ago

Bongo Movies

Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.

Taarifa hizi ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha  The mboni show ambacho yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.

Wasanii na mastaa mbalimbali nchini wameoneshwa masikitiko yako juu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani