Kwanini gari la Diamond limkere Waziri Makala?
SHIRIKISHO la Wasanii Tanzania (Shiwata) chini ya Mwenyekiti wake, Cassim Taalib, Januari 17 lilifanya kongamano lililowakutanisha wadau wake, wasanii, wanamichezo na wanahabari katika ukumbi wa Lamada, Ilala jijini Dar es...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-gbRlc80PpsA/VV0GuZ23UVI/AAAAAAAHYus/LRFVs7g-wdQ/s320/1.1774256.jpg)
1.USHAHIDI WA KUAMBIWA NININI.
Ushahidi wa kuambiwa ni ushahidi unaotolewa na mtu ambaye hakuona tukio likitendeka, hakusikia tukio likitendeka, hakuhisi wala kuonja, wala kunusa jambo lililo mbele ya mahakama kama kosa isipokuwa aliambiwa na mtu mwingine aliyeona, kusikia, kuhisi, kunusa au kuonja. Hapa kuna watu wawili, kwanza aliyeona au kusikia , na pili yule aliyeambiwa na huyu aliyeona au kusikia .
Kwahiyo ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vTqkQRJjs4A/VV1UpbljoyI/AAAAAAAHYwU/EsfHkWVbgMw/s72-c/download.jpg)
MAKALA SHERIA: ZIJUE SABABU NNE KWANINI USHAHIDI WA KUAMBIWA HAUKUBALIKI MAHAKAMANI.
![](http://4.bp.blogspot.com/-vTqkQRJjs4A/VV1UpbljoyI/AAAAAAAHYwU/EsfHkWVbgMw/s1600/download.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cQ91oMUMMU4/VMqvDuUxZ1I/AAAAAAAHATM/pHLKAg3we2c/s72-c/12.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA GARI JIHADHARI NA UTAPELI HUU WA KIMKATABA
![](http://1.bp.blogspot.com/-cQ91oMUMMU4/VMqvDuUxZ1I/AAAAAAAHATM/pHLKAg3we2c/s1600/12.jpg)
1. KUTAPELIWA KATIKA UNUNUZI WA GARI.
Ununuzi wa magari sawa na biashara nyingine yoyote unahitaji umakini. Lakini ununuzi wa gari unahitaji umakini mkubwa zaidi pengine kuliko mali nyingine yoyote inayohamishika kwa sasa. Hii ni kutokana na kukua kwa biashara ya bidhaa hiyo kulikoleteleza kujipenyeza kwa matapeli hasa mijini. Utapeli wa magari ni mkubwa kuliko watu wanavyofikiria na idadi ya wanaotapeliwa kwa siku inaelekea kulingana na idadi ya magari yanayouzwa...
10 years ago
Vijimambo27 Nov
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Mnyika amnusuru Waziri Makala
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemnusuru Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala asiendelee kuzomewa na wananchi wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya maji jimboni humo. Mapema...
10 years ago
Bongo515 Nov
Kwanini Diamond Platnumz alilia kwenye video hii?
Hakuna siri kuwa Diamond Platnumz na Yemi Alade walifanya kazi nzuri kwenye msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Miongoni mwa nyimbo zilizofurahiwa zaidi ni Johny ya Yemi na Ukimwona ya Diamond ambazo waliziimba pamoja. Lakini kilichofurahisha zaidi na pengine ambacho watu wengi hawajakigundua ni pale Diamond alikuwa akijadiliana na producer wa video ya live […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania