Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWETU HAKUNA WAFUNGWA, NI WANAFUNZI - SHEIKH ABEID KARUME

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KARUME DAY KUMBUKIZI YA MIAKA 48 YA KIFO CHA SHEIKH ABEID AMANI KARUME.



By MZEE WA ATIKALI  ✍️✍️✍️


1. USULI:

Jumanne ya leo, tarehe 7.4.2020, imetimia miaka 48 toka aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, ndugu SHEIKH ABEID AMANI KARUME,  alipouawa kwa kumiminiwa risasi nane na Luteni HOMOUD MOHAMMED BARWAN katika Afisi Kuu ya Afro Shiraz Party, Kisiwandui, Zanzibar.

Kwa mujibu wa "The Public Holidays Act, Cap. 35 (RE 2002)", sikukuu za kitaifa nchini ziko 17 na mojawapo ya sikukuu hizo ni "KARUME DAY". Hivyo, leo ni siku ya mapumziko.

Je, Mwanamapinduzi huyu...

 

11 years ago

Dewji Blog

MOblog inaunga na Watanzania wote kuadhimisha miaka 42 ya kifo muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume

1972376_497943327001958_2234576527659900752_n

Watanzania leo wanakumbuka kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku hiyo mwaka 1972. 

MOblog inakutakia mapumziko mema na tuyaenzi yale yote mema aliyoyafanya Hayati Abeid Amani Karume likiwemo la kudumisha Muungano wetu.

 

11 years ago

Mwananchi

Hali mbaya Uwanja Sheikh Amri Abeid

Moses Mashalla, Mwananchi

 

10 years ago

Mwananchi

Hali ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid inatisha

Uwanja ni nyenzo muhimu katika kukuza na kuendeleza michezo kitaifa na kimataifa kwa kuwa ndio sehemu ya kukutana kwa wanamichezo, kuendesha mashindano na hata kusaka vipaji vya michezo na kuviendeleza.

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi ausifu Uwanja Sheikh Amri Abeid

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameridhishwa na viwango vya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ulioko Arusha na kuahidi kuileta timu ya Taifa kuutumia katika moja ya mechi za kimataifa ikiwemo ya michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 (AFCON).

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE KUBWA ZAANZA KUTUA UWANJA WA KIMATAIFA WA ABEID AMAN KARUME ZANZIBAR

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ikitowa huduma za ndege kubwa baada ya kumalizika kwa ujenzi wake wa maegesho ya ndege na barabara ya kuondokea, hivi karibuni kama inavyoonekana picha ndege mbili kubwa za Ethiopian airline na Oman Air zikiwa katika uwanja huo kwa wakati mmoja zikitowa huduma ya kusafirisha abiria kupitia uwanja huo' Zanzi News

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE ATEMBELEA KABURI LA HAYATI ABEID AMAN KARUME MJINI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa pili kushoto) akifafanua jambo wakati alipotembelea chumba ambacho muasisi wa Mapinduzi na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume aliuawa kwa risasi wakati akicheza bao, katika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja Juni 13.2015 jioni, ambapo Waziri Membe yupo Zanzibar kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI NA UTALII WA ZANZIBAR AFANYA KATIKA UWANJA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID KARUME

Maryam Himid/Saada Saleh-ZJMMC
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo,Zanzibar,Mh. Saidi Ali Mbarouk amezitaka Taasisi zinazosimamia kupokea Watalii Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Amani Abeid Karume kujenga mashirikiano ili kuondosha usumbufu kwa wageni wanaoingia na kuotoka nchini. Ameyasema hayo alipofanya ziara Uwanjani hapo kwa lengo la kuangalia hali halisi ya Wageni wanaoingia na kutoka nchini.
Waziri Mbarouk amesema suala la Mashirikiano kwa wageni ni jambo muhimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani