Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lady Jaydee aongeza nguvu kwenye management yake

12145332_1069487496425151_1766464638_n

Mwimbaji mkongwe, Judith Wambura aka Lady Jaydee ameongeza nguvu kwenye safu ya uongozi wake ili kujiweka vizuri zaidi katika muziki wake.

12145332_1069487496425151_1766464638_n

Akizungumza na Bongo5 leo, mmoja kati ya wanaounda uongozi huo, rapper Wakazi amesema amemwongeza Seven katika timu yake.

“Kwa upande wa uongozi wa Lady Jaydee siko peke yangu, nipo mimi na Seven naye anahusika kwenye uongozi. Lakini Lady Jaydee amepumzika na bado anaingia studio. Pia bado ngoma yake aliyofanya na Uhuru pamoja Mazet, ‘Give Me Love’...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Tazama alichokiandika Lady Jaydee kwa mama yake aliyetimiza miaka 70

Katika dunia ya sasa mtu akifikisha umri wa miaka 70, anakuwa mtu mwenye bahati sana. Mama yake na Lady Jaydee amesherehekea siku yake ya kuzaliwa weekend iliyomalizika na mwanae amesherehekea naye. Keki aliyoandaliwa mama yake na Lady Jaydee. Sherehe ya kumpongeza ilifanyika Serena Hotel jijini Dar es Salaam Kwenye ujumbe alioandika kumpongeza mama yake, Jide […]

 

10 years ago

Michuzi

Lady Jaydee aungana na Marie Stopes Tanzania kwenye kampeni ya uzazi wa mpango

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), Uller Muller (kulia) akikabidhi kisanduku chenye vifaa vinavyohusika na masuala ya uzazi wa mpango kwa Balozi mpya wa Marie Stopes ambaye pia ni msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura 'Lady jaydee' katika hafla ya utiaji sahihi makubaliano hayo katika ofisi za MST, jijiji Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ashinda ya tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka Afrika Mashariki, ‘Yahaya’ kwenye Bingwa Music Awards -Kenya

Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na Lady Jaydee ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo. Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki. Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo: Artist of the Year – Kenrazy Showbiz Personality of the Year – […]

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz amuongeza Abby kwenye management yake, sasa ana mameneja wawili

Ni jambo la kawaida kwa msanii yeyote duniani kuwa na mameneja wengi ambao wanakuwa na majukumu tofauti, kwa lengo moja la kuhakikisha kazi za msanii husika zinafanikiwa kwa kiasi kikubwa. Abby na Ommy Dimpoz Ommy Dimpoz pia amechukua uamuzi wa kumuongeza mtangazaji wa Choice Fm, Abby Plaatjes kwenye management yake, ambaye sasa ataungana na meneja […]

 

11 years ago

GPL

NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE

Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee' akiwa katika pozi na mkoko wake mpya aina ya Range Rover Evogue.

 

10 years ago

Vijimambo

Lady Jaydee - Forever (New Single)

Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa "Forever". Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania

 

10 years ago

Mtanzania

Mwasiti: Lady Jaydee ananivutia

MwasitiNA RHOBI CHACHA

MWASITI Almas kama anavyofahamika katika muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kudai kwamba anavutiwa zaidi na msanii mwenzake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.

Msanii huyo mwenye sauti nzuri katika nyimbo zake, alisema yeye ni msanii anayevutiwa na wasanii wanaojitambua na wanaofanya vema katika kazi zao za muziki, kama afanyavyo Jaydee ‘Binti Machozi’.
“Yaani mimi huwa sina choyo ya kusifia kama msanii mwenzangu anafanya vema namsifia, sijali nani atasema nini, napenda kazi za...

 

9 years ago

Michuzi

Lady JayDee Ndani ya London

Na Freddy Macha, London Mwanamuziki na mwimbaji mashuhuri wa Tanzania, Lady JayDee, anatazamiwa kutua jijini London kesho kutwa Alhamisi tayari kwa onesho kabambe Jumamosi. Akizungumza nami Jumatatu usiku, promota wa shoo hilo, Frank Leo, alisema anawaomba Watanzania na marafiki zao wajiunge kumshangilia Mtanzania mwenzetu tarehe 5 Desemba. Kiingilio cha paundi 20 ( wastani wa shilingi 45,000) kitatozwa katika holi maridadi la Oasis Banqueting Suite mtaa wa Barking, Mashariki ya London. Bango la shoo ya 5 Desemba 2015

 

10 years ago

Mwananchi

Lady Jaydee: Ni wakati wangu sasa

Baada ya tetesi kuwa ameachana na mumewe, mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee amesema leo anajitokeza kwa mara ya kwanza mbele ya mashabiki wake kwani wakati wa kufanya hivyo umewadia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani