LAPF WATOA TAHADHARI KWA WASTAAFU
RPC wa Mkoa wa Dodoma SACP. David A. Misime akiongea na waandishi wa Habari leo akitoa tahadhari juu ya matapeli wanaowadanganya na kuwatapeli wastaafu. LAPF kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kumkamata mtu mmoja na kumfikisha Mahakamani baada ya kujifanya ni mtumishi wa TAMISEMI, LAPF na OFISI YA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA na kufanikiwa kuwaibiwa fedha kwa njia ya mtandao wastaafu kutoka katika mikoa mbalimbali.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama wa LAPF Bw....
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMFUKO WA LAPF WATOA SHILINGI MILIONI TATU, KUSAIDIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
9 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-BtBmOib8YxQ/VUHu1WppvaI/AAAAAAAAP5M/_HTNTcqejmA/s1600/picha%2B3.jpg)
LAPF WATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 100 KWA SACCOS YA WALIMU WILAYANI RUANGWA, LINDI
9 years ago
Habarileo16 Aug
Marais wastaafu watoa hesabu zao
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiaga kuashiria kumaliza uongozi wake wa miaka kumi, huku kampeni za kumpata mrithi wake zikikaribia, wazee wastaafu waliofanya kazi na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere wamezungumzia historia ya uongozi wa nchi yetu, huku marais wastaafu waliomfuatia, wakieleza changamoto walizokabiliana nazo katika miaka kumi ya kila mmoja wao.
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Wanasayansi watoa tahadhari
WANASAYANSI wa mashirika ya nchi mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya tabianchi ‘Intergovernmental Panel on Climate Change’ (IPCC), wametaadhalisha kuwapo kwa mabadiliko yatakayosababisha kupungua kwa mazao ya kilimo. Tahadhari hiyo imetokana...
10 years ago
VijimamboMFUKO WA LAPF WATOA MSAADA WA RANGI ZENYE THAMANI YA SH.MILIONI 3 KUMALIZIA UJENZI WA MAABARA YA SHULE WILAYANI ULANGA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-X5SfRv2ZAT4/VjX_CZbP9rI/AAAAAAAID1k/wH98chmlhKE/s72-c/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
JUMUIYA YA WAZEE WASTAAFU, WAKULIMA NA WAFANYAKAZI ZANZIBAR WATOA TAMKO JUU YA HALI ILIOPO VISIWAMI
![](http://2.bp.blogspot.com/-X5SfRv2ZAT4/VjX_CZbP9rI/AAAAAAAID1k/wH98chmlhKE/s640/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Polisi Kagera watoa tahadhari uvunjifu wa amani Pasaka
JESHI la Polisi Kagera kwa kushirikiana na vyombo vya usalama, limejipanga kuhakikisha hakuna vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza katika Sikukuu ya Pasaka. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kagera,...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Uvamizi wa nzige: Umoja wa Mataifa watoa tahadhari ya njaa katika Ethiopia, Kenya, Uganda, Tanzania na Somalia