Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasayansi watoa tahadhari

WANASAYANSI wa mashirika ya nchi mbalimbali yanayojihusisha na masuala ya tabianchi ‘Intergovernmental Panel on Climate Change’ (IPCC), wametaadhalisha kuwapo kwa mabadiliko yatakayosababisha kupungua kwa mazao ya kilimo. Tahadhari hiyo imetokana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

LAPF WATOA TAHADHARI KWA WASTAAFU

  RPC wa Mkoa wa Dodoma SACP. David A. Misime akiongea na waandishi wa Habari leo akitoa tahadhari juu ya matapeli wanaowadanganya na kuwatapeli wastaafu. LAPF kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kumkamata mtu mmoja na kumfikisha Mahakamani baada ya kujifanya ni mtumishi wa TAMISEMI, LAPF na OFISI YA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA na kufanikiwa kuwaibiwa fedha kwa njia ya mtandao wastaafu kutoka katika mikoa mbalimbali.   Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama wa LAPF Bw....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi Kagera watoa tahadhari uvunjifu wa amani Pasaka

JESHI la Polisi Kagera kwa kushirikiana na vyombo vya usalama, limejipanga kuhakikisha hakuna vitendo vya uhalifu vitakavyojitokeza katika Sikukuu ya Pasaka. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Kagera,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uvamizi wa nzige: Umoja wa Mataifa watoa tahadhari ya njaa katika Ethiopia, Kenya, Uganda, Tanzania na Somalia

Kuharibiwa kwa tani za mazao na nzige kunaweza kusababisha mzozo wa chakula , wasema Umoja wa Mataifa.

 

5 years ago

Mwananchi

Wanasayansi wachanga watakiwa kuandaliwa

Wakati Serikali ya awamu ya tano ikiweka mkazo  kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda wadau wameshauri nguvu hiyo pia itumike kuwaandaa wanasayansi wachanga.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanasayansi wajawa na shauku ya kimondo

Wanasanyansi wamejawa na shauku ya kutaka thibitisho kwamba Chombo kilichopelekwa na kutua kwenye kimondo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanasayansi watengeza mbegu za kiume

Seli za mbegu za kiume zimetengezwa katika maabara kwa mara ya kwanza na hivyobasi kuwapa matumaini wanaume wasio na uwezo wa kupata watoto.

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete, wanasayansi wapata tuzo

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) imempa tuzo Rais Jakaya  Kikwete kutokana na kuutambua  mchango wake mkubwa katika Sekta ya Afya.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanasayansi watakiwa kutumia ujuzi kibiashara

Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) na Chuo cha Fizikia cha Uingereza, wameanzisha mpango wa kuwawezesha wanasayansi na wahandisi katika nchi za Afrika Mashariki, kutumia ujuzi wao kibiashara.

 

10 years ago

Habarileo

Wanasayansi, wataalamu 100 kukutana SUA

CHUO Kikuu cha Kilimo (SUA) na kile cha Marekani katika mji wa Ohio (OSU), kinatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu, utakaokutanisha wanasayansi na wataalamu wa biashara ya kilimo 100 kutoka mataifa mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani