Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete, wanasayansi wapata tuzo

Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) imempa tuzo Rais Jakaya  Kikwete kutokana na kuutambua  mchango wake mkubwa katika Sekta ya Afya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI UTOAJI TUZO WA WANASAYANSI WACHANGA WA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo kwa Wanasayansi wachanga kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania, iliyofanyika jana Agosti 13, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilongero, John Andrea (wa pili kulia) na Thobias Clement, wakati...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI UTOAJI TUZO WA WANASAYANSI WACHANGA WA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo kwa Wanasayansi wachanga kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania, iliyofanyika jana Agosti 14, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari...

 

10 years ago

Michuzi

Usiku wa Tuzo za Filamu wafana jijini Dar, wengingi wapata tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015.Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atunuku tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana ijumaa.(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZIMBABWE ROBERTY MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRIKA NA CHINA,RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA .

  Mgeni Rasmi wa Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China, Rais wa Zimbabwe,Robert  Mugabe akihutubi usiku huu kweye kongamano hilo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza usiku huu kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini Arusha,ambapo Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China linafanyika na mgeni rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe. Rais wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete atunukiwa tuzo ya uongozi

Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania ametunukiwa Tuzo ya Utumishi Bora wa Umma Barani Afrika

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka kwa Gratian Mukoba, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) wakati wa kilele cha Mei Mosi Uwanja wa CCM Kirumbna jijini Mwanza leo mei 1, 2015. Picha na IKULU

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Apewa Tuzo Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award) leo, Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa jana, Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas....

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APEWA TUZO NA TASWA

Mwenyekiti wa TASWA Bwana Juma Pinto akimpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua mchango wake mkubwa katika kuendeleza michezo nchini wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na TASWA katika ukumbi wa Mlimani City jana  jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani