Leicester yaiadhibu Chelsea yarudi kileleni
Mabingwa watetezi wa ligi kuu England Chelsea wamezidi kuwa katika wakati mgumu msimu huu baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Leicester City.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Jan
Chelsea yarudi kileleni, Mancity yazuiwa
Chelsea imerejea katika uongozi wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kuicharaza Newcastle 2-0 katika uwanja wa stamford bridge.
9 years ago
Habarileo31 Dec
Azam FC yarudi kileleni
TIMU ya soka ya Azam FC imefanikiwa kurudi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro katika pambano lililofanyika Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi29 May
African Sport FC yarudi kileleni
Wakati klabu ya African Sport FC ya Tanga ikiongoza katika kundi lake kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa wa mikoa, ni mabao 62 tu ndiyo yaliyotinga nyavuni kutokana na michezo 24 katika kituo cha Morogoro.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mtibwa Sugar yarudi kileleni, Coastal Union yashikwa Tanga
Mtibwa Sugar imereja kileleni mwa Ligi Kuu pamoja na kulazimishwa sare 1-1 na JKT Ruvu jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Chelsea yaiadhibu Galatasaray
Chelsea yafuzu kwa robo fainali ya ligi ya mabingwa Uropa baada ya kuilaza Galatasaray 2-0
11 years ago
BBCSwahili27 Apr
Chelsea yaiadhibu Liverpool 2-0
Chelsea wamewanyamazisha vinara wa ligi kuu ya England, Liverpool kwa kuwacharaza 2-0
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
Chelsea 2-0 Leicester
Mshambulizi wa Uhispania Diego costa alifunga bao lake la pili katika mechi 2 za EPL
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Chelsea kumenyana na Leicester City
Vinara wa ligi ya England Chelsea leo watashuka dimbani kucheza mchezo wao wa kiporo dhidi Leicester City.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania