Chelsea yarudi kileleni, Mancity yazuiwa
Chelsea imerejea katika uongozi wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kuicharaza Newcastle 2-0 katika uwanja wa stamford bridge.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Leicester yaiadhibu Chelsea yarudi kileleni
Mabingwa watetezi wa ligi kuu England Chelsea wamezidi kuwa katika wakati mgumu msimu huu baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Leicester City.
9 years ago
Habarileo31 Dec
Azam FC yarudi kileleni
TIMU ya soka ya Azam FC imefanikiwa kurudi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro katika pambano lililofanyika Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi29 May
African Sport FC yarudi kileleni
Wakati klabu ya African Sport FC ya Tanga ikiongoza katika kundi lake kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa wa mikoa, ni mabao 62 tu ndiyo yaliyotinga nyavuni kutokana na michezo 24 katika kituo cha Morogoro.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mtibwa Sugar yarudi kileleni, Coastal Union yashikwa Tanga
Mtibwa Sugar imereja kileleni mwa Ligi Kuu pamoja na kulazimishwa sare 1-1 na JKT Ruvu jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
10 years ago
BBCSwahili20 Dec
Mancity yapanda kileleni mwa ligi
David Silva alifunga mabao mawili dhidi ya Crystal Palace na kuiwezesha Manchester City kupanda hadi kilele cha ligi
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Mancity yafika kileleni mwa ligi ya EPL
Mchezaji Frank Lampard alifunga bao la ushindi kupitia kichwa chake dhidi ya Sunderland na kuiweka Manchester City sawa na Chelsea
10 years ago
BBCSwahili30 Nov
Man U na Arsenal zawika,Chelsea yazuiwa
Mkufunzi Gus Poyet aliihangaisha timu ya Chelsea na kuwajaribu viongozi hao wa Ligi kupitia mchezo mzuru wa timu yake Sunderland.
10 years ago
BBCSwahili14 Dec
Mancity,Chelsea na Arsenal zawika
Frank Lampard alifunga bao lake la 175 katika ligi ya Uingereza na kuipatia ushindi wa 1-0 timu yake ya Manchester City.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania